Rais Magufuli amteua Prof. Florens Luoga kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi - TRA

Kazi Mkuu

Member
May 24, 2017
21
100
IMG_20170711_061508_870.jpg


Sent from my SM-N920I using JamiiForums mobile app
 
Professa na uongozi wapi na wapi bana?
Sawa Luoga ni mtaalamu wa masuala ya kodi, lakini katika masuala ya uongozi nina mashaka nae sana.
Kama ni mtalaam wa maswala ya kodi,,, hatunashaka naye,,, akafanye kama prof kabudi na wengineo wazuri,,,, ukisoma sana hunabudii kulitumikia taifa lako kwa uweredi wako wote,,, Tuliomba mawaziri na watendaji wakuu kuwa professional leo tunaponda hilo,, nchi hii wengi kama hatukulelewa na wazazi wetu,,,,

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
Sijui ni nani aliyemdanganya huyu mkubwa kuwa maprofesa na madokta (PhD) ndio tu wanafaa kuwa viongozi na ndio engine ya maendeleo.
Kama wewe bashi. Tee imekula kibande ya kwako

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
 
Ngoja tusubir kesho kutwa atuteulie mwenyekit wa BMT. naona ashatumbuliwa.... Nadhan watutuletea kada huko

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
 
UDSM itaisha jamani maprofesa wake wote wanahamishwa na kupangiwa majukumu mengne dah.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Saaafi, uteuzi wa ma prof ni mzuri, asilimia kubwa wanapenda kusimamia kile wanachokiamini, angekua anateua mafriend zake kama yule aliyetoka tungejaza wapiga dili kwenye serikali. Sasa tusipopata maendeleo tujue wasomi wetu elimu zao ni fake.
Hivi Kitila anasimamia anachokiamini? AC ya kwenye V-8 Haijawahi muacha mtu salama.
 
Back
Top Bottom