Rais Magufuli amteua Mhandisi Benjamin Mchwampaka kuwa Kamishna wa Madini | Page 4 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais Magufuli amteua Mhandisi Benjamin Mchwampaka kuwa Kamishna wa Madini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Interest, Apr 21, 2017.

 1. Interest

  Interest JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2017
  Joined: Apr 11, 2015
  Messages: 925
  Likes Received: 1,234
  Trophy Points: 180
  Taarifa kutoka kwa Katibu Mkuu Balozi Kijazi zinasema Rais John P. Magufuli amemteua aliyekuwa Kamishna Msaidizi wa Uchimbaji Mdogo, Mhandisi Benjamin Mchwampaka kuwa Kamishna Mkuu wa Madini.

  Wakati huo huo Rais amemteua Adelarnus Kilangi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli(Petrolium Upstream Regulatory Authority - PURA). 4efa3e32-d0ac-4905-ab9f-1841f4ae9549.jpg

   
 2. Sophist

  Sophist JF-Expert Member

  #61
  Apr 21, 2017
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 2,973
  Likes Received: 1,586
  Trophy Points: 280
  Part II of Petroleum Act 2015 allays natural gas governance institutional weaknesses by creating the Petroleum Upstream Regulatory Authority (PURA), hence leaving TPDC with the core NOC role, Sections 218-224 (Act No. 21/2015) have specific provisions for addressing the issues of local content, CSRs and integrity.
   
 3. mrangi

  mrangi JF-Expert Member

  #62
  Apr 21, 2017
  Joined: Feb 19, 2014
  Messages: 21,324
  Likes Received: 8,811
  Trophy Points: 280
  Phd my @ss

  Ova
   
 4. F

  Fursa Pesa JF-Expert Member

  #63
  Apr 21, 2017
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 2,262
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Hongera Engineer.!
  Msaidie Mh.Rais JPM na Watanzania.
  Usituangushe tuko pamoja na wewe.
   
 5. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #64
  Apr 21, 2017
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Eheeeeeeeee
   
 6. darcity

  darcity JF-Expert Member

  #65
  Apr 21, 2017
  Joined: Jul 20, 2009
  Messages: 3,727
  Likes Received: 4,708
  Trophy Points: 280
  Anafikiria kutoteua waislam au kutoka kanda nyengine ni kama anawakomoa au ndio ataheshimiwa sana kwao hajui watu wanamsubiria 2020.
  Na pengine asilolijua ni kwamba unapochukua watu wa sampuli moja mindset zao zinafanana kwa sababu kutakuwa hakuna mtu anayefikiri outside the box. Kila kitu kitakuwa vululu vululu.

  N:B mods naomba msifute hii comment.
   
 7. A

  Akasankara JF-Expert Member

  #66
  Apr 21, 2017
  Joined: Feb 28, 2015
  Messages: 1,605
  Likes Received: 1,531
  Trophy Points: 280
  Tuendelee kupiga vita UKANDA NA UKABILA Tukiacha itakuja kuleta hatari mbeleni
   
 8. Dan Zwangendaba

  Dan Zwangendaba JF-Expert Member

  #67
  Apr 21, 2017
  Joined: Apr 25, 2014
  Messages: 2,000
  Likes Received: 1,828
  Trophy Points: 280
  Apia!
   
 9. L

  LadyRed JF-Expert Member

  #68
  Apr 21, 2017
  Joined: Mar 19, 2016
  Messages: 3,504
  Likes Received: 2,865
  Trophy Points: 280
  Ni idara kubwa mana kuna upande wa madini na upande wa Nishati,
  Upande wa madini huyu ndo mtendaji Haswaa hata katika sheria ya madini yumo sana.,
   
 10. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #69
  Apr 21, 2017
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,270
  Likes Received: 1,708
  Trophy Points: 280
  Sijui kenda api kulikuwa na injinia hapo. Naona hii ni staili mpya. Unaletewa mwenzio tu na wewe unajiongeza. Hivi Nape alitimuliwa au tulisikia tu uteuzi wa waziri Mwakyembe.
  i
   
 11. k

  kiatu kipya JF-Expert Member

  #70
  Apr 21, 2017
  Joined: Dec 4, 2016
  Messages: 2,743
  Likes Received: 1,549
  Trophy Points: 280
  PURA ,EWURA na wale wengine duuu wanatusaidia nini kama regulatory
   
 12. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #71
  Apr 21, 2017
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,270
  Likes Received: 1,708
  Trophy Points: 280
  Ajira
   
 13. v

  viwanda JF-Expert Member

  #72
  Apr 21, 2017
  Joined: Nov 16, 2016
  Messages: 699
  Likes Received: 744
  Trophy Points: 180
  JONGO PAPAI MKAA njoo nikuazime akili kidogo
   
 14. Mmexico

  Mmexico Senior Member

  #73
  Apr 21, 2017
  Joined: Nov 1, 2016
  Messages: 149
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Baba yako angesoma soma usingekuwa na njaa au wivu wa hivyo
   
 15. kalagabaho

  kalagabaho JF-Expert Member

  #74
  Apr 22, 2017
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,124
  Likes Received: 1,776
  Trophy Points: 280
  Hivi unajua kuna taasisi ngapi ndani ya wizara ya nishati na madini na unajua wakuu wake ni appointee wa rais..na unajua kuna kanda ngapi kwenye sekta ya madini na wakuu wa kanda wanateuliwa na nani??..we umekomaa na wizara na idara zake tu..akili za kitoto hizo..jiongeze!!
   
 16. N

  Nonda JF-Expert Member

  #75
  Apr 22, 2017
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,340
  Likes Received: 1,939
  Trophy Points: 280
  Link Sheikh Khalifa Khamis amzushia UDINI Rais Magufuli

  Link2. Sheikh Khalifa ammwagia data zaidi Rais Magufuli za wasomi waislamu

  CC The Big man Show & Sheikh Khalifa
   
 17. YEHODAYA

  YEHODAYA JF-Expert Member

  #76
  Apr 22, 2017
  Joined: Aug 9, 2015
  Messages: 9,208
  Likes Received: 8,311
  Trophy Points: 280
  Makamishina wote wa serikali wawe wa polisi,magereza,wizara,au mashirika huteuliwa na raisi acha ubishi usio na tija
   
 18. Lihakanga

  Lihakanga JF-Expert Member

  #77
  Apr 22, 2017
  Joined: Dec 17, 2016
  Messages: 642
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 80
  Asikusumbue, angalia jina lake. Kalagabaho!! Hawez jiongeza.
   
 19. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #78
  Apr 22, 2017
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 32,418
  Likes Received: 5,292
  Trophy Points: 280
  H
  AHAHAAAAA MPWA MWAMBIE HAMORAAAPA ASUBIRI NA YEYE UTEUZI NAONA ANAMASWALI HATARASHII
   
 20. Rob Art

  Rob Art Senior Member

  #79
  Apr 22, 2017
  Joined: Jul 7, 2016
  Messages: 138
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 60
  Mkuu, PURA wao ni wadhibiti wa mkondo wa juu wa Petroli. Mkondo wa juu unajumuisha kutoa leseni kwa makampuni, utafutaji, uchimbaji na shughuli zote za mkondo wa juu. Mbadala wake kwa mkondo wa chini ni EWURA, yeye (kwa upande wa Petroli) anashughulika kudhibiti ubora na usambazaji wa mafuta na gesi.
   
 21. n

  niah JF-Expert Member

  #80
  Apr 22, 2017
  Joined: Sep 26, 2015
  Messages: 3,140
  Likes Received: 3,279
  Trophy Points: 280
  Tulikuwa na afande Mchwampaka Jeshini wakati wa michezo ya majeshi, mtu wa BK akiamua kukuchamba utajificha. Aliwekwa ndani wakati wa kutaka kupindua Nyerere. Alisha RIP. Jina la Bukoba labda na Songea wapo sijui.
   
Loading...