Rais Magufuli amteua Kamishna Diwani Athuman Msuya kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), achukua nafasi ya Dr. Modestus Kipilimba

Status
Not open for further replies.
Mkurugenzi wa usalama wa taifa (TISS) Dk.Kipilimba ametumbuliwa na nafasi yake imechukuliwa na Diwani Msuya aliyekuwa TAKUKURU.Nadhani Kigogo2014 atakuja na maelezo ya kutosha.
Ishu kubwa kwangu ni kuona afya ya Elick Kabendera inazoofika machozi yamenitoka
#FreeErickKabendera .
IMG_20190912_133349.jpeg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom