Rais Magufuli amteua Jaji Sivangilwa Mwangesi kuwa Kamshina wa Maadili

Msukuma mwingine huyo in "ze" eyes of "saccos"
 
Acha kukwepa hoja.."Tunataka Katiba Mpya"!

Toa justifications kwanini tusiwe na katiba mpya yenye kupunguza huu upumbavu wote?

Hiyo ndio hoja na sio "hamia Kenya"
Km ulisema copy and paste ya...ndo maana akakujibu maana hata ikiwa mpya haitakuwa copy and paste ya kenya sasa lengo lako halitakuwa limetimia?
 
Wale wapumbavu wenzio walioondoka bungeni na posho wakachukua unawakumbuka lakini?
Wanasiasa wa chadema walikula mkwanja Kisha wakasusia bunge....pumbafu kabisa
 
Naunga mkono hoja. Kuapa kulinda KATIBA ambayo haina Ibara ya kumshtaki Rais kwa makosa anayofanya akiwa MADARAKANI na baada ya kutoka ni KAZI BURE.

Haina tofauti na kusali kabla ya kula kwa Wakristu. Usali usisali chakula utakula tu.

Tupiganie Katiba Mpya na TumeHuru ya uchaguzi kwanza.

Hata Dr Hamis Kigwangalla aliapishwa, lakini ametumia zaidi ya Tsh 2.5 bila udhini ya bunge kwa bajeti ya 2018/ 19 na hakuna alichofanywa zaidi ya kuachwa kwenye baraza jipya tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…