Rais Magufuli amteua Jaji Sivangilwa Mwangesi kuwa Kamshina wa Maadili

Sivangilwa Sikalalilwa Mwangesi ambaye ni Jaji wa Mahakama ya Rufani ameteuliwa na Rais Magufuli kuwa Kamishna wa Maadili.

Mwangesi anakuwa kamishna baada ya aliyekuwa Kamishna wa Maadili, Harold Nsekela kufariki dunia.

Uteuzi huu unaanza leo, Desemba 23 na Rais atamuapisha kesho Desemba 24 saa nne asubuhi Ikulu Chamwino.

View attachment 1657542
Msukuma mwingine huyo in "ze" eyes of "saccos"
 
Acha kukwepa hoja.."Tunataka Katiba Mpya"!

Toa justifications kwanini tusiwe na katiba mpya yenye kupunguza huu upumbavu wote?

Hiyo ndio hoja na sio "hamia Kenya"
Km ulisema copy and paste ya...ndo maana akakujibu maana hata ikiwa mpya haitakuwa copy and paste ya kenya sasa lengo lako halitakuwa limetimia?
 
Katiba Mpya Watanzania walishapiga kura na kusema wanaitaka,sio mimi au wewe!

Walipiga kura,wakatoa maoni ,wakatoa na bajeti ya bunge la katiba,ila tu waCCM wakaharibu takwa la wananchi

Sababu za katiba mpya sina haja ya mimi kutoa,wananchi wa Tanzania wanajua ndio maana walifanya mchakato wote

Wewe na mimi ni vidampa tu,watu milioni 60 wenye nchi yao walikwishaamua siku nyingi na processes zote zilipitiwa ila maCCM walikua stopisha mwishoni sijui nani aliwapa hiyo ruksa!

Ustopishaji ule ulikua badili maana haukuamuliwa na wananchi wenyewe kwa kura,ni mapumbavu kadhaa yaliamua

Hivyo tunataka process iendelee kama walivyokua wanataka mwanzoni

Katiba Mpya sio ombi,ni lazima,maana wananchi wenyewe waliamua na wala sio wewe au CCM

Irudisheni kwa LAZIMA....

Hamtaki leo,but it is the matter of time!

Upumbavu au si upumbavu kutokana na macho yangu haukuhusu,ni maamuzi yangu wewe uhusiki nayo

Na wewe pia kutpitia macho yako kuna vitu unaona upumbavu na vingine si upumbavu..ni yako si yetu!

Usinipe kibarua cha kipumbavu cha kutaja nachoona upumbavu au si upumbavu maana wewe ni useless kwangu,na hayo maono ni yangu sio ya mtu,sihitaji ruksa kuyasema popote!

Mwenye mahaba ni wewe na bwana mawe....ni vizuri ukampa taqor kabisa akapiga!
Wale wapumbavu wenzio walioondoka bungeni na posho wakachukua unawakumbuka lakini?
Wanasiasa wa chadema walikula mkwanja Kisha wakasusia bunge....pumbafu kabisa
 
Copy and Paste ya Kenya ni lugha ya picha tu (metaphor)

Kuonyesha kwamba tunataka Katiba serious level ya ile ya Kenya au Ghana au SA...

Sio huu uchafu tulionao wa mwaka 77 rais ni Mungu!

Na since Kenya ndio competitor wetu,na anapofanya kitu safi lazima na sisi tuige tena tumpite kwa ubora..

Ndio hasa maana yangu ya kutaja Kenya

Ningewe kutaja Ghana au SA au United States of America shida ni kwamba ziko mbali na hatuhusiani nazo kiivyo kama Kenya!

Thats my point,metaphorically!
Naunga mkono hoja. Kuapa kulinda KATIBA ambayo haina Ibara ya kumshtaki Rais kwa makosa anayofanya akiwa MADARAKANI na baada ya kutoka ni KAZI BURE.

Haina tofauti na kusali kabla ya kula kwa Wakristu. Usali usisali chakula utakula tu.

Tupiganie Katiba Mpya na TumeHuru ya uchaguzi kwanza.

Hata Dr Hamis Kigwangalla aliapishwa, lakini ametumia zaidi ya Tsh 2.5 bila udhini ya bunge kwa bajeti ya 2018/ 19 na hakuna alichofanywa zaidi ya kuachwa kwenye baraza jipya tu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom