Rais Magufuli amteua Dkt. Sophia Kongela kuwa mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa(NHC)

Mchechu alijisahau sana kiasi cha kudhani kila mtu ni tajiri;
Nakumbuka siku moja alishangaa nyumba ya Tshs 72 mil watu kulalamika kwamba ni ghali badala ya kubuni mbinu za kuteremsha bei;
Aidha alikuwa anashirikiana na W/biashara binafsi ktk kujenga (kama lile ghorofa liliporomoka Kisutu) na kuuza nyumba!
 
Uteuzi Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Sophia Kongela kuwa mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)

Wakati huo huo Dkt. Maulid Banyani ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC


Haya, Wateule wapya, hasa Mkurugenzi Mkuu, vaeni viatu vya walioondolewa. Cha Mchechu kilikuwa saizi kubwa!! Kila la kheri!
 
Back
Top Bottom