figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,487
Rais Dkt. John Pombe Magufuli amteua Bw. Charles Edward Kichere kuwa Kamishna Mkuu Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
Kabla ya hapo Bw. Kichere alikuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka hiyo na pia amewahi kuwa Mhasibu wa TANROADS. Kufuatia uteuzi huo nafasi ya Naibu Kamishna Mkuu itajazwa baadae.
Kichere anachukua nafasi ya Alphayo Kidata aliyeteuliwa kuwa Katibu Mkuu Ikulu siku ya Alhamisi.