Haya ni maoni yangu tu yaani jinsi ninavyodhania, ni hivi kwa hali ya kawaida jana Jumapili Raisi Magufuli alitakiwa awe Akraa, Ghana kusherehekea miaka 59 ya Uhuru wake ambapo viongozi wengi wengi wa Kiafrika walialikwa na kuhudhuria akiwemo Uhuru Kenyata wa Kenya!
Sasa Magufuli wetu hakwenda nafikiri hakuona umuhimu wa kutumia fedha zetu za kodi tunazozichumia juani na kwa tabu kwenda tu kuuza sura huko Ghana na kutoa hotuba za kudanganyana kama ilivyo kawaida!
Sasa ili kuzuga na kukwepa hiyo safari kwa maana maadhimisho yalikuwa J'pili ina maana asingekuwa na kisingizio cha kukwepa hivyo akaamua kufanya kazi ya kumbadilisha Katibu Mkuu Kiongozi, sisemi kwamba KK amebadilishwa kwa sababu ya Uhuru wa Ghana wa bali kwa kawaida alipaswa kwenda Ghana kwenya sherehe za Uhuru!
Wewe kichaa sio bureHaya ni maoni yangu tu yaani jinsi ninavyodhania, ni hivi kwa hali ya kawaida jana Jumapili Raisi Magufuli alitakiwa awe Akraa, Ghana kusherehekea miaka 59 ya Uhuru wake ambapo viongozi wengi wengi wa Kiafrika walialikwa na kuhudhuria akiwemo Uhuru Kenyata wa Kenya!
Sasa Magufuli wetu hakwenda nafikiri hakuona umuhimu wa kutumia fedha zetu za kodi tunazozichumia juani na kwa tabu kwenda tu kuuza sura huko Ghana na kutoa hotuba za kudanganyana kama ilivyo kawaida!
Sasa ili kuzuga na kukwepa hiyo safari kwa maana maadhimisho yalikuwa J'pili ina maana asingekuwa na kisingizio cha kukwepa hivyo akaamua kufanya kazi ya kumbadilisha Katibu Mkuu Kiongozi, sisemi kwamba KK amebadilishwa kwa sababu ya Uhuru wa Ghana wa bali kwa kawaida alipaswa kwenda Ghana kwenya sherehe za Uhuru!
Hata Upumbavu ni kipaji pia.Haya ni maoni yangu tu yaani jinsi ninavyodhania, ni hivi kwa hali ya kawaida jana Jumapili Raisi Magufuli alitakiwa awe Akraa, Ghana kusherehekea miaka 59 ya Uhuru wake ambapo viongozi wengi wengi wa Kiafrika walialikwa na kuhudhuria akiwemo Uhuru Kenyata wa Kenya!
Sasa Magufuli wetu hakwenda nafikiri hakuona umuhimu wa kutumia fedha zetu za kodi tunazozichumia juani na kwa tabu kwenda tu kuuza sura huko Ghana na kutoa hotuba za kudanganyana kama ilivyo kawaida!
Sasa ili kuzuga na kukwepa hiyo safari kwa maana maadhimisho yalikuwa J'pili ina maana asingekuwa na kisingizio cha kukwepa hivyo akaamua kufanya kazi ya kumbadilisha Katibu Mkuu Kiongozi, sisemi kwamba KK amebadilishwa kwa sababu ya Uhuru wa Ghana wa bali kwa kawaida alipaswa kwenda Ghana kwenya sherehe za Uhuru!
Umenena mkuuSio kila mawazo yako utuandikie hapa mengine kaa nayo kichwani mwako au ukishindwa msimulie hata mkeo
Kanywe supu aiseeHaya ni maoni yangu tu yaani jinsi ninavyodhania, ni hivi kwa hali ya kawaida jana Jumapili Raisi Magufuli alitakiwa awe Akraa, Ghana kusherehekea miaka 59 ya Uhuru wake ambapo viongozi wengi wengi wa Kiafrika walialikwa na kuhudhuria akiwemo Uhuru Kenyata wa Kenya!
Sasa Magufuli wetu hakwenda nafikiri hakuona umuhimu wa kutumia fedha zetu za kodi tunazozichumia juani na kwa tabu kwenda tu kuuza sura huko Ghana na kutoa hotuba za kudanganyana kama ilivyo kawaida!
Sasa ili kuzuga na kukwepa hiyo safari kwa maana maadhimisho yalikuwa J'pili ina maana asingekuwa na kisingizio cha kukwepa hivyo akaamua kufanya kazi ya kumbadilisha Katibu Mkuu Kiongozi, sisemi kwamba KK amebadilishwa kwa sababu ya Uhuru wa Ghana wa bali kwa kawaida alipaswa kwenda Ghana kwenya sherehe za Uhuru!
aiss kumbe ndo alikuwa anamaanisha hii!!!Kipanya aliona mbali.....
let it confermed, teh teh teh.daaa ya. smart phone haya
Kwani ninyi kuna msichoshangaa safari hii...Binafsi nimeshangaa sana......
Hahahaha...Unaweza kututajia hao wasomi hata watatu tu majina yao.
Haha umenikumbusha msoga boy alivyokua akitembea na gari lililojaa wachawi kwenye misafara yake.....Marope muda yuko kwa wazee wa sayansi nyeusi wanazindika jina na Nyota yake.
Unaposema "kwa kawaida alipaswa kwenda kwenda Ghana" unamaanisha nini?Haya ni maoni yangu tu yaani jinsi ninavyodhania, ni hivi kwa hali ya kawaida jana Jumapili Raisi Magufuli alitakiwa awe Akraa, Ghana kusherehekea miaka 59 ya Uhuru wake ambapo viongozi wengi wengi wa Kiafrika walialikwa na kuhudhuria akiwemo Uhuru Kenyata wa Kenya!