Rais Magufuli amteua Balozi John William Kijazi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi

Itapirai

Member
Mar 26, 2014
47
27
Taarifa za uhakika nilizozipata na za uhakika ni kuwa Rais Magufuli kafanya mabadiliko madogo ambapo amemtumbua Balozi Ombeni kuwa atampangia kazi nyingine na nafasi yake sasa atachukua Balozi Eng. Kijazi aliyekuwa balozi India.

Maswali, au ni kashfa zinazozagaa zikimuhusu Ombeni au haendani na anavyotaka bosi wake?

More to come....

===========
UPDATES:

IMG-20160306-WA0047.jpg
 
Kwanini asiende kijijini kulima Nyanya kuliko kumpangia kazi nyingine!
 
Rais Magufuli amefanya mabadiko madogo kwa kumteua Balozi Kijazi aliyekuwa balozi India kuwa Katibu Mkuu Kiongozi mpya nafasi iliyokuwa ikishikiliwa na Balozi Ombeni Sefue, inasemekana Ombeni Sefue atapangiwa kazi nyingine.

Mwanzoni niliweka post hii moderator kafuta, nimerudia tena.

Source: Mimi mwenyewe
 
Back
Top Bottom