Rais Magufuli amteua Balozi John William Kijazi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi

Haya ni maoni yangu tu yaani jinsi ninavyodhania, ni hivi kwa hali ya kawaida jana Jumapili Raisi Magufuli alitakiwa awe Akraa, Ghana kusherehekea miaka 59 ya Uhuru wake ambapo viongozi wengi wengi wa Kiafrika walialikwa na kuhudhuria akiwemo Uhuru Kenyata wa Kenya!

Sasa Magufuli wetu hakwenda nafikiri hakuona umuhimu wa kutumia fedha zetu za kodi tunazozichumia juani na kwa tabu kwenda tu kuuza sura huko Ghana na kutoa hotuba za kudanganyana kama ilivyo kawaida!

Sasa ili kuzuga na kukwepa hiyo safari kwa maana maadhimisho yalikuwa J'pili ina maana asingekuwa na kisingizio cha kukwepa hivyo akaamua kufanya kazi ya kumbadilisha Katibu Mkuu Kiongozi, sisemi kwamba KK amebadilishwa kwa sababu ya Uhuru wa Ghana wa bali kwa kawaida alipaswa kwenda Ghana kwenya sherehe za Uhuru!

Duh!! wewe mwanamke mjinga kabisa tena mpuuzi kuliko niliowahi kuwaona wapuuzi na kama umeolewa aliyekuoa kapata hasara.
 
Mawazo yako siyo sahihi. Kuna uzi hapa ulitembea kuwa Rais atahutubia hadhara ya Ghana kwa kutumia mtandao wa Skype akiwa hapa hapa Tanzania!
 
Sio kila mawazo yako utuandikie hapa mengine kaa nayo kichwani mwako au ukishindwa msimulie hata mkeo
 
Haya ni maoni yangu tu yaani jinsi ninavyodhania, ni hivi kwa hali ya kawaida jana Jumapili Raisi Magufuli alitakiwa awe Akraa, Ghana kusherehekea miaka 59 ya Uhuru wake ambapo viongozi wengi wengi wa Kiafrika walialikwa na kuhudhuria akiwemo Uhuru Kenyata wa Kenya!

Sasa Magufuli wetu hakwenda nafikiri hakuona umuhimu wa kutumia fedha zetu za kodi tunazozichumia juani na kwa tabu kwenda tu kuuza sura huko Ghana na kutoa hotuba za kudanganyana kama ilivyo kawaida!

Sasa ili kuzuga na kukwepa hiyo safari kwa maana maadhimisho yalikuwa J'pili ina maana asingekuwa na kisingizio cha kukwepa hivyo akaamua kufanya kazi ya kumbadilisha Katibu Mkuu Kiongozi, sisemi kwamba KK amebadilishwa kwa sababu ya Uhuru wa Ghana wa bali kwa kawaida alipaswa kwenda Ghana kwenya sherehe za Uhuru!
Wewe kichaa sio bure
 
Hata Upumbavu ni kipaji pia.

~ Mwenye Heri J.K Nyerere
 
Kanywe supu aisee
Maana naona bado una wenge la konyagi ukwaju:D
 
JPM anaondolea system yote ya mkwere anajua watatumika kumuhujumu.Nimependa maamuzi yake. Nasubiri amtumbue January.
 
siasa zimekwisha now.......let us think in breef but the outcomes should be very bright...................kijazi amewekwa ili aendane na speed ya dct magu.....
 
Sioni kama ni issue ya kushtusha kwa President kubadili KMK, kwa kawaida President lazma awe na safu anayoijua vzr na anayoiamini, President yeyote yule lazma angebadili KMK, kumbukeni nafasi ya KMK ni nafasi nyeti, KMK knows everything ktk system ya nchi, sasa OS served kwa utawala wa JK, now tunaona kuwa kulkuwa na majipu mengi sana last utawala, how can President go on ma KMK alyekuwapo? Hata kama hangekuwa na kashfa yoyote ni sahihi kbs JPM kuja na safu yake mpya
 
Haya ni maoni yangu tu yaani jinsi ninavyodhania, ni hivi kwa hali ya kawaida jana Jumapili Raisi Magufuli alitakiwa awe Akraa, Ghana kusherehekea miaka 59 ya Uhuru wake ambapo viongozi wengi wengi wa Kiafrika walialikwa na kuhudhuria akiwemo Uhuru Kenyata wa Kenya!

Sasa Magufuli wetu hakwenda nafikiri hakuona umuhimu wa kutumia fedha zetu za kodi tunazozichumia juani na kwa tabu kwenda tu kuuza sura huko Ghana na kutoa hotuba za kudanganyana kama ilivyo kawaida!

Sasa ili kuzuga na kukwepa hiyo safari kwa maana maadhimisho yalikuwa J'pili ina maana asingekuwa na kisingizio cha kukwepa hivyo akaamua kufanya kazi ya kumbadilisha Katibu Mkuu Kiongozi, sisemi kwamba KK amebadilishwa kwa sababu ya Uhuru wa Ghana wa bali kwa kawaida alipaswa kwenda Ghana kwenya sherehe za Uhuru!
Unaposema "kwa kawaida alipaswa kwenda kwenda Ghana" unamaanisha nini?
 
Back
Top Bottom