koyola
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 2,645
- 1,747
Imeruhusiwa kisirisiri ukivuta hadharani lupangoBangi imeruhusiwa kuvutwa au ni utani wa Mjomba Magu?
Sent using Jamii Forums mobile app

sure mkuunimecheka kwa sauti sana
Mkuu magufuli sio msukuma anajipakazia tu, kuthibitisha aseme yeye ni msukuma wa wapi aoneshe na kijiji chao usukumani, huyu jamaa asili yake ukiifikiria utaishia kusema hiiiiiiiii....
Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi ya Jah people ...kuu.....Bob nesta marley....Sijawahi kuona nchi yoyote iliyoletewa maendeleo na wavuta bhangi...
Labda nchi yetu itakuja kuwa ya kwanza!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wavuta bangi wanajuana kivitendo
Shabani Robert .... kitabu cha kusadikika........Marehemu BWANA MSA alitunga kitabu kimoja akakipa jina "DUNIANI KUNA WATU.
Wasukuma hawana tabia za ukatili,visasi, chuki,ligi,wao ni watu wa Amani wana Upendo na watu.
Jamaa atafuta kila aina ya Kiki ili watu wasahau ripoti ya CAG, lakini Hilo halifutiki,yaani sie wengine tulikuwa hata hatujui mambo haya ya ripoti,lakini utawala huu umefanya kila mtu awe Ni mfuatiliaje was mambo ya serikali kwa ukaribu sana,kila udhalimu ukizidi,raia huzidi kufungua akili zao.Akiwa Njombe, Rais Dr John Magufuli amemshauri waziri wa Maji kuwa mkali anapoenda kutana na makandarasi wa miradi ya Maji.
Kamwambia hapaswi kuwa mkali.Kama inawezekana akavute bangi ya Njombe. Of course isiwe hadharani.Kamshauri iwe ndani huko kisiri siri halafu ikipanda kichwani akaonane na wakandarasi wa maji akawe mkali.
"Nimekupeleka pale ukafanye mabadiliko, ukalisimamie hilo, kwa sababu nina matatizo sana na baadhi ya miradi ya maji, na ndio maana nimekuwa nikifanya mabadiliko kwenye miradi ya maji, kwa sababu haileti impact. Zinazungumzwa fedha zimeenda kwenye miradi lakini hazikuenda, kuna wakati nilienda kanda ya ziwa, mradi umetumika milioni 400, zilikuwa milioni 800 lakini maji hayapo, sasa nikuombe Waziri na watendaji mkawe wakali kweli kweli, kama unaweza ukavute bangi ya Njombe ili uwe mkali kaivute, kaivute kisiri siri wasikuone ukiivuta, ili ukienda kwenye mradi hawa mainjia wa maji wakafanye kazi”,
alisema Rais Magufuli.
Naamini kama kuna waziri anayetumia hiyo kitu kwa jambo hili atakuwa anatabasamu huko aliko.Haya ndo maendeleo tunayotaka.
Maneno ya Rais ni Amina na Kweli. Yaani ni Sheria.
Mh. Waziri pokea kitu hicho cha Njombe.Akiwa Njombe, Rais Dr John Magufuli amemshauri waziri wa Maji kuwa mkali anapoenda kutana na makandarasi wa miradi ya Maji.
Kamwambia hapaswi kuwa mkali.Kama inawezekana akavute bangi ya Njombe. Of course isiwe hadharani.Kamshauri iwe ndani huko kisiri siri halafu ikipanda kichwani akaonane na wakandarasi wa maji akawe mkali.
"Nimekupeleka pale ukafanye mabadiliko, ukalisimamie hilo, kwa sababu nina matatizo sana na baadhi ya miradi ya maji, na ndio maana nimekuwa nikifanya mabadiliko kwenye miradi ya maji, kwa sababu haileti impact. Zinazungumzwa fedha zimeenda kwenye miradi lakini hazikuenda, kuna wakati nilienda kanda ya ziwa, mradi umetumika milioni 400, zilikuwa milioni 800 lakini maji hayapo, sasa nikuombe Waziri na watendaji mkawe wakali kweli kweli, kama unaweza ukavute bangi ya Njombe ili uwe mkali kaivute, kaivute kisiri siri wasikuone ukiivuta, ili ukienda kwenye mradi hawa mainjia wa maji wakafanye kazi”,
alisema Rais Magufuli.
Naamini kama kuna waziri anayetumia hiyo kitu kwa jambo hili atakuwa anatabasamu huko aliko.Haya ndo maendeleo tunayotaka.
Maneno ya Rais ni Amina na Kweli. Yaani ni Sheria.
Mmh........Akiwa Njombe, Rais Dr John Magufuli amemshauri waziri wa Maji kuwa mkali anapoenda kutana na makandarasi wa miradi ya Maji.
Kamwambia hapaswi kuwa mkali.Kama inawezekana akavute bangi ya Njombe. Of course isiwe hadharani.Kamshauri iwe ndani huko kisiri siri halafu ikipanda kichwani akaonane na wakandarasi wa maji akawe mkali.
"Nimekupeleka pale ukafanye mabadiliko, ukalisimamie hilo, kwa sababu nina matatizo sana na baadhi ya miradi ya maji, na ndio maana nimekuwa nikifanya mabadiliko kwenye miradi ya maji, kwa sababu haileti impact. Zinazungumzwa fedha zimeenda kwenye miradi lakini hazikuenda, kuna wakati nilienda kanda ya ziwa, mradi umetumika milioni 400, zilikuwa milioni 800 lakini maji hayapo, sasa nikuombe Waziri na watendaji mkawe wakali kweli kweli, kama unaweza ukavute bangi ya Njombe ili uwe mkali kaivute, kaivute kisiri siri wasikuone ukiivuta, ili ukienda kwenye mradi hawa mainjia wa maji wakafanye kazi”,
alisema Rais Magufuli.
Naamini kama kuna waziri anayetumia hiyo kitu kwa jambo hili atakuwa anatabasamu huko aliko.Haya ndo maendeleo tunayotaka.
Maneno ya Rais ni Amina na Kweli. Yaani ni Sheria.
Mmh........
Hakika Mkuu wa nchi amefyatuka!
Hivi anaweza ihalalisha bangi wakati Polisi wakikuona angalau tu na mbegu yake, watalala nawe mbele!