figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,495
- 54,911
Weka nyama taarifa yakoRais John Magufuli amemrudishia hadhi ya ubalozi Profesa Costa Mahalu kuanzia leo, Katibu Mkuu Mambo ya Nje, Adolf Mkenda
Sawa mkuu..Nipe muda kidogo.Weka nyama taarifa yako
Yule mswahili wa Msoga alimpokonya kwa hilaMaagizo ya Mwana Masasi
Lini aliondolewa hadhi hiyo?
chezea poti!Rais John Magufuli amemrudishia hadhi ya ubalozi Profesa Costa Mahalu kuanzia leo, Katibu Mkuu Mambo ya Nje, Adolf Mkenda
Profesa Costa Mahalu alikuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia, Kabla ya kufunguliwa na kesi ya uhujumu uchumi kwa kuisababishia Serikali hasara ya zaidi ya Sh2 bilioni kesi ambayo alishinda.
Huyo professor ni mtu wa wap? Ni yule aliye wait kugombea jimbo la Lushoto kule tanga?Rais John Magufuli amemrudishia hadhi ya ubalozi Profesa Costa Mahalu kuanzia leo, Katibu Mkuu Mambo ya Nje, Adolf Mkenda
Profesa Costa Mahalu alikuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia, Kabla ya kufunguliwa na kesi ya uhujumu uchumi kwa kuisababishia Serikali hasara ya zaidi ya Sh2 bilioni kesi ambayo alishinda.
Huyo professor ni mtu wa wap? Ni yule aliye wait kugombea jimbo la Lushoto kule tanga?
Umeambiwa ni kabila gani au ni mtu wa wapi? Halafu unapiga kelele hakuna ukabilaMsukuma huyo!
Umeambiwa ni kabila gani au ni mtu wa wapi? Halafu unapiga kelele hakuna ukabila
Màhalu ni kabila gani?
..halafu tunadanganywa kwamba anachukia UFISADI.
OK ni Sawa huyu alizingiziwa nmekumbuka!!!!Msukuma huyo!