Rais Magufuli ampigia simu Diamond akiwa jukwaani, Diamond amuhakikishia ushindi 2020

Koroshow watu wanauza mpakq basii

State agent
raisi wa wote hapori korosho za wakulima
raisi wa wote hatukani wahanga wa tetemeko yeye huwafariji
raisi wa wote hauwi na kufungulia kesi za uongo wakosoaji wake
raisi wa wote wala hatukani watumishi wa umma awapo jukwaani bali huwaongezea mishahara na kulipa stahiki zao
raisi wa wote habomolei watu nyumba bila kuwaelekeza waende wapi
raisi wa wote haiti watengengeneza ndege chumbani pake na kuagiza ndege bali hutumia sheria ya manunuzi ya wote kuagiza ndege za wote.
hatukani wanafunzi wanaopata mimba kwa umasikini uliotopea bali hutafuta suluhisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
USSR,

Magufuli hahitaji ushawishi wa Diamondi au raia yoyote ili awe rais, bali anahitaji tume ya uchaguzi inayotii matakwa yake, na vyombo vya dola vilivyo tayari kufanya lolote ili abaki madarakani. Hao akina Diamondi wanatumika tu kuhadaa umma kwamba jamaa anakubalika, lakini ushindi wake halisi hautokani na ushawishi wake kwa umma bali nguvu ya madaraka yake. Uzuri ni kuwa wananchi wengi tunajitambua, hakuna tume huru vya uchaguzi hatutashiriki kupiga kura. Acha awe rais lakini sio kwa ridhaa ya wananchi bali atakuwa kama serikali ya kijeshi.
Hapa kama tume huru uchaguzi haitakuwepo ni bora kutokupiga jura kama ilivyokuwa kwenye serikali za mitaa
 
Kaskazini mnaumia sana, ila ndio hivyo mnaowaita washamba ndio wamekamata dola na ndio wengi, mngekuwa na akili kama mnavyodai basi mngekamata dola kama wakikuyu Kenya, mlie, mshambulie mitandaoni, m brag kwamba nyie kwenu migombani ni kama New York sawa, ila ndio dola tushaishika! Na hatuna mpango wa kuiachia, kama ulisoma Political Science unajua concept ya "Majority rule" the tyranny of number, na ndio hao mnaowaita washamba watawaongoza tu, even after 2025!
Huna akili sana wewe. Sasa mmeshika dola, na bado maendeleo hamjawafikia Kaskazini hata robo.
 
Simu hiyo angeipiga Mbowe kwa mwanamziki huyo na wakati kama huo na akasifiwa hivo hivo, japo asitamke uhubiri wa siasa, 1)tamasha lingevamiwa na Usalama wa taifa na kusimamishwa,2)uhamiaji wangemchukua kuhoji uraia wake,3) tra wangeshapiga Jodi kwenye miradi yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
USSR,

Magufuli hahitaji ushawishi wa Diamondi au raia yoyote ili awe rais, bali anahitaji tume ya uchaguzi inayotii matakwa yake, na vyombo vya dola vilivyo tayari kufanya lolote ili abaki madarakani. Hao akina Diamondi wanatumika tu kuhadaa umma kwamba jamaa anakubalika, lakini ushindi wake halisi hautokani na ushawishi wake kwa umma bali nguvu ya madaraka yake. Uzuri ni kuwa wananchi wengi tunajitambua, hakuna tume huru vya uchaguzi hatutashiriki kupiga kura. Acha awe rais lakini sio kwa ridhaa ya wananchi bali atakuwa kama serikali ya kijeshi.
Tindo umeandika vzr
 
Hii imetokea usiku wa kuamkia leo, mkesha wa mwaka mpya wa 2020 baada ya Rais kumpigia simu akiwa jukwaani na kumpongeza Diamond.

Diamond amemhakikishia ushindi wa kishindo 2020 kwenye uchaguzi mkuu October.

Hii inaitwa double target kwa wale waliopitia courses za strategies kama mimi from Chato to Ujiji eneo lenye wapiga kura lukuki hapa Galilaya.

USSR
View attachment 1309917
Tano tena
 
USSR,

Magufuli hahitaji ushawishi wa Diamondi au raia yoyote ili awe rais, bali anahitaji tume ya uchaguzi inayotii matakwa yake, na vyombo vya dola vilivyo tayari kufanya lolote ili abaki madarakani. Hao akina Diamondi wanatumika tu kuhadaa umma kwamba jamaa anakubalika, lakini ushindi wake halisi hautokani na ushawishi wake kwa umma bali nguvu ya madaraka yake. Uzuri ni kuwa wananchi wengi tunajitambua, hakuna tume huru vya uchaguzi hatutashiriki kupiga kura. Acha awe rais lakini sio kwa ridhaa ya wananchi bali atakuwa kama serikali ya kijeshi.
Ulinena mkuu

Sent from my 502SO using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom