Rais Magufuli amlipia Tsh milioni 5 mama aliyefiwa na mama mzazi Hospitali ya Muhimbili

Angalie nikikuwa nina react nini
Kupunguza gharama za hospitali kwa maskini uwepo utaratibu wa bima nafuu....
Mkiwa mna tafuta wanaume mnaandika comment ili kupata attentions
Akili zako ziko timamu kweli.nikatafute mwanaume jf kwani mtaani ninapoishi hawapo..😏😏😏😏😏
 
Kwanini niwe na wivu wakati mimi sina hata chama wewe vip acha ushabiki wakijinga
Mjinga ni yule asiyeweza ku prove kama imepangwa na still anaamini imepangwa..
.Hiyo ni unnecessary negativity yenye asili ya mtu mshirikina na mwenye wivu na roho mbaya
 
Utoaji sio character ya Magufuli embu arudi kwenye character yake asituzuge watanzania sio wajinga sana.
 
Utoaji sio character ya Magufuli embu arudi kwenye character yake asituzuge watanzania sio wajinga sana.
 
Pesa siyo msingi wa Maendeleo! Bali juhudi na Maarifa kazini, ndiyo msingi imara wa kujenga jamii iliyo Bora Tanzania.

Anaye kupatia samaki ni mtu mbaya, asiyekutakia mema. Bora anayekufundisha kuvua samaki, kuliko anaye kupa.
 
Back
Top Bottom