Rais Magufuli ameshatekeleza yaliyomo katika ilani za Chadema ACT wazalendo, ya CCM bado kama 5% tu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,915
141,879
Niko napitia ilani za vyama vyenye wabunge vilivyosimamisha mgombea urais 2015 yaani CCM, Chadema na ACT wazalendo.

Kwa upande wa ACT wazalendo naona yote waliyoahidi yametelekezwa. Kwa Chadema ni kama moja ndio bado lile la serikali za majimbo na hili kwa kuwa halina afya kwa ustawi wa taifa letu na si sera ya CCM.

Ilani ya CCM kwa kuwa ilisheheni mambo mazito na makubwa makubwa naona ni kama imeshatekelezwa kwa 95%, imebakia zile meli ambazo zitaanza kazi mwakani na vitu vingine vidogo vidogo.

Hongera Rais Magufuli...... Hongera mama Mghwira kwa kuikabidhi ilani ya ACT wazalendo kwa serikali...... Hongera mzee Lowassa kwa kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya 5.

Maendeleo hayana vyama!
 
Hujui kusoma, huyo aliyekusomea Ameruka katiba mpya.
 
Back
Top Bottom