Rais Magufuli ameonesha moyo wa kusamehe Mafisadi na wana CCM wanaomkosoa lakini hataki kusamehe Wapinzani!

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
6,697
9,048
Rais John Joseph Pombe Magufuli ameonekana ni mwungwana, mpole na mwenye moyo wa huruma sana. Tumeona juhudi zake za kutaka DPP na DCI waangalie utaratibu wa kuwasamehe WATUHUMIWA WA UFISADI kama tu wataomba msamaha na kurudisha fedha waliyokwiba au kutakatisha. Hili ni jambo jema.

Hii siyo mara ya kwanza kwa Rais Magufuli kutoa msamha. Alianza na Babu Seya aliekuwa amefungwa kifungo cha maisha kwa kumtoa gerezani. Tatizo linakuja pale inapoonekana hii misamaha imelengwa zaidi kwa kikundi fulani cha aidha wana-CCM au watu waliokuwa ndani ya mfumo wa chama Twawala.

Kuna kesi nyingi sana za Viongozi wa upinzani hasa Wabunge na Wanachama ambao aidha wana kuesi zinazoendelea Mahakamani au wamefungwa gerezani kwasababu tu ni wanachama wa vyama vingine nje ya CCM. Kwa Serikali yoyote yenye kusimamia Utawala bora yenye Rais anayeheshimu Katiba ya nchi haiwezi kuwa na DOUBLE STANDARDS katika kuhudumia raia wake kwa misingi ya itikadi ya vyama, dini au jinsia.

Hivi kesi za Viongozi na Wbunge wa Upinzani nyingi zikiwa za kubambikiwa hasa CHADEMA na CUF zinangoja nini kwa Rais kutoa msamaha na kumwelekeza DPP na DCI kuzifutiliwa mbali Mahakamani? iInasikitisha sana kiongozi wa nchi anapoendesha nchi kwa misingi ya kibaguzi na upendeleo kama ilivokuwa kwa Makaburu wa Afrika ya Kusini.
 
Kuna kesi nyingi sana za Viongozi wa upinzani hasa Wabunge na Wanachama ambao aidha wana kuesi zinazoendelea Mahakamani au wamefungwa gerezani kwasababu tu ni wanachama wa vyama vingine nje ya CCM.

Duh!!!
Kwa mara ya kwanza ndio nasoma haya.. embu elezea yaani wanakamatwa tu nakushitakiwa huku mmekaa kimya.. na wengi wapo huru wanafanya yao kama kawaida na wala hawasumbuliwi..

Wanawakamatia wapi bungeni au mitaani.. na bila kosa kabisa?
 
wako waliobambikizwa kesi.

..wako waliotekwa na kuteswa.

..wako waliofungwa kwa uonevu.

..wengine wamepigwa risasi.

..wengine wameuawa kikatili.

..na kuna waliopotea kwa muda mrefu.
hakuna aliyebambikiwa kesi hapo hao wanakesi ya kujibi wlifanya mkusanyiko usio halali mpaka mauaji yakatokea hao lazima wafungwe tu.
hakuna aliyeteswa bila sababu na nani kwanza hakuna mtu aliyeteswa huyo ujue atakuwa ni mhalifu.
hakuna aliyefungwa kwa uonevu toa mfano mmoja tu

waliopigwa risasi wanajua makosa yao ila wanawaficha watu kama nyinyi hebu waambieni waje watoe ushahidi wakupigwa risasi kwao mbona wanajificha?

waliouwawa ujue wanamakosa kisheria tena wahalifu sugu huwezi kuuwawa kama unatii sheria bila shuruti
 
Duh!!!
Kwa mara ya kwanza ndio nasoma haya.. embu elezea yaani wanakamatwa tu nakushitakiwa huku mmekaa kimya.. na wengi wapo huru wanafanya yao kama kawaida na wala hawasumbuliwi..

Wanawakamatia wapi bungeni au mitaani.. na bila kosa kabisa?

Acha uchizi weye kilaza.
Usijifanye hamnazo....Kila kitu kiko wazi wala huhitaji kumulika na kurunzi. !!!!
Hivi Tundu Lissu alikosa nini mpaka akashambuliwa kwa risasi mchana kweupe? Acqulina Akwilini aliuawa na Polisi kwa risasi lakini kesi ikawageukia Viongozi wa CHADEMA......!!!Tuacheni unafiki na uhuni wa kuwafanya Watz kama mazezeta wasiojua chochote.....Angalizo...kila jambo huwa lina mwanzo na mwisho wake!!
 
hakuna aliyebambikiwa kesi hapo hao wanakesi ya kujibi wlifanya mkusanyiko usio halali mpaka mauaji yakatokea hao lazima wafungwe tu.
hakuna aliyeteswa bila sababu na nani kwanza hakuna mtu aliyeteswa huyo ujue atakuwa ni mhalifu.
hakuna aliyefungwa kwa uonevu toa mfano mmoja tu

waliopigwa risasi wanajua makosa yao ila wanawaficha watu kama nyinyi hebu waambieni waje watoe ushahidi wakupigwa risasi kwao mbona wanajificha?

waliouwawa ujue wanamakosa kisheria tena wahalifu sugu huwezi kuuwawa kama unatii sheria bila shuruti

Kwa hiyo hawa MAFISADI waliokula na kwiba fedha iliyotokana na kodi za Watz wanastahili msamaha kwa kulipa deni na kuomba msamaha kwa vile hawana kesi ya kujibu? Acha upumbaf...!!
 
Acha uchizi weye kilaza.
Usijifanye hamnazo....Kila kitu kiko wazi wala huhitaji kumulika na kurunzi. !!!!
Hivi Tundu Lissu alikosa nini mpaka akashambuliwa kwa risasi mchana kweupe? Acqulina Akwilini aliuawa na Polisi kwa risasi lakini kesi ikawageukiwa Viongozi wa CHADEMA......!!!Tuacheni unafiki na uhuni wa kuwafanya Watz kama mazezeta wasiojua chochote.....Angalizo...kila jambo huwa lina mwanzo na mwisho wake!!
we mpumbavu kabisa hivi una akili za wapi wewe makalioni? hivi unaweza kuuliza alikosa nini mpaka wampige risasi? yeye mwenyewe anasemaga kila siku waliompiga anawajuwa na ndiyo maana hataki kuja kutoa ushahidi unahangaika na huyo mhuni balozi wa mashoga? wacha afabye kazi iliyo mpeleka huko, chadema wanatakiwa wahukumiwe kunyongwa maana ukaidi wao walisababisha maandamano yaliyosababisha kifo cha mwanafunzi sasa hao ni watu wema kwa nchiyetu?
 
Siyo kwamba yeye ndiye anayestahili kuwaomba msamaha hao wapinzani kwa kuwazuia kufanya siasa bila sababu yenye mashiko?
shaeria ipo na wanaijua sana mikutano kila mtu jimboni kwke tu mingine mpaka uchaguzi basi ila wabishi tu
 
Duh!!!
Kwa mara ya kwanza ndio nasoma haya.. embu elezea yaani wanakamatwa tu nakushitakiwa huku mmekaa kimya.. na wengi wapo huru wanafanya yao kama kawaida na wala hawasumbuliwi..

Wanawakamatia wapi bungeni au mitaani.. na bila kosa kabisa?
Kwa kuwa wewe mi raia wa Burundi tuachie ya kwetu na wewe endelea na ya kwenu Burundi!!!!
 
Kuna uwezekano mkubwa wewe siyo raia wa nchi hii hata hili hulijui au umevaa miwani ya mbao????
mimi ni raia iloa wewe unajifanya unaakili za makalioni ndiyo maana unabisha wapinzani waombe msamaha kwakosa gani?
 
hakuna aliyebambikiwa kesi hapo hao wanakesi ya kujibi wlifanya mkusanyiko usio halali mpaka mauaji yakatokea hao lazima wafungwe tu.
hakuna aliyeteswa bila sababu na nani kwanza hakuna mtu aliyeteswa huyo ujue atakuwa ni mhalifu.
hakuna aliyefungwa kwa uonevu toa mfano mmoja tu

waliopigwa risasi wanajua makosa yao ila wanawaficha watu kama nyinyi hebu waambieni waje watoe ushahidi wakupigwa risasi kwao mbona wanajificha?

waliouwawa ujue wanamakosa kisheria tena wahalifu sugu huwezi kuuwawa kama unatii sheria bila shuruti
Wewe unatakiwa upimwe Mkojo!!!!
 
we mpumbavu kabisa hivi una akili za wapi wewe makalioni? hivi unaweza kuuliza alikosa nini mpaka wampige risasi? yeye mwenyewe anasemaga kila siku waliompiga anawajuwa na ndiyo maana hataki kuja kutoa ushahidi unahangaika na huyo mhuni balozi wa mashoga? wacha afabye kazi iliyo mpeleka huko, chadema wanatakiwa wahukumiwe kunyongwa maana ukaidi wao walisababisha maandamano yaliyosababisha kifo cha mwanafunzi sasa hao ni watu wema kwa nchiyetu?
Wewe unastahili si kupimwa akili tu bali unastahili upimwe Mkojo!!!!
 
siwezi kukulazimisha uelewe ukweli baki na ujinga wako sisi tuna songa mbele

Wewe endelea kusonga mbele katikati ya msitu mnene wenye giza totoro...!!Ujue huko mbele ni majanga, kulia na kusaga meno. Vurugu tunazoshuhudia Libya, Misri, Algeria, Somalia,Sudan na kwingineko zilianza hivihivi kwa baadhi ya viongozi kujiona ni miungu watu na kukandamiza haki za wengine....!!!
 
Back
Top Bottom