Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Hahahahaha CCM.Mjinga nani kati ya ww mzururaji na yeye anayeishi maisha bora
Hahahahaha CCM.Mjinga nani kati ya ww mzururaji na yeye anayeishi maisha bora
hata yeye ni mmojawapo halafu hawa masikini huko kijijini wanapiga deal ganiSubiri utaona Comments za wale waliokuwa wapiga dili watakavyomponda. Rais Magufuli ni nonsense President na ataibadili Tanzania sana.
Mara nyingine hata siyo waliokuwa wanapiga madili, wengi wao ni wafuata mkumbo tu, walio radhi hata dola na nchi ishindwe kwenye kesi zake dhidi ya waporaji! Wanapinga hata kitu kizuri! Sasa uzuzu gani huo?! Kama anakosea tutasema, ila akipatia asifiwe, period...Subiri utaona Comments za wale waliokuwa wapiga dili watakavyomponda. Rais Magufuli ni nonsense President na ataibadili Tanzania sana.
Mkuu hapo penye nyekundu mbona unamtukana Raisi umpendae? Au na wewe unamponda?😀😀😀😛😛😛Subiri utaona Comments za wale waliokuwa wapiga dili watakavyomponda. Rais Magufuli ni nonsense President na ataibadili Tanzania sana.