Rais Magufuli amdhalilisha Meya wa UKAWA Manispaa ya Ilala

Rais Magufuli amdhalilisha Meya wa UKAWA Manispaa ya Ilala

POORLY AFRICAN POLITICS/
#visa
#vinyongo
#visasi

*uchaguzi umekwisha tuwe kitu kimoja hasa kwa wote WALIOTEULIWA./ TUSIFIKE HUKO!!
"TUSIPUNGUKIWE HEKIMA"

Ndiyo tumeshafika,na tutaenda mbali zaidi ya huko.Muda tu ndiyo utakao sema
 
Kwa Hali hii ya Kiongozi kuweka itikadi za chama chake mbele Na sio taifa ni mbaya sana jua watanzania wanakupima kwa kila unachokifanya Na sifa ya Kiongozi ubomolewa Na kitu kidogo sana usichokizania kulewa madaraka ni kitu kibaya sana katika uongozi jua upinzani ndio utakaopima uongozi wako kwa wananchi ukitaka kujua baya lako mpaka atakapopata atakaye kukosowa
 
Hata mimi nilimsikia akifanya ubaguzi kwa wabunge wa vyama vingine kwa kusema uchaguzi sahihi ni wa Bona na atampendelea ktk mahitaji ya jimbo lake. I say to hell, haijalishi, mapambano dhihi ya ccm yataendelea mpaka siku watatoka tu. Historia ipo hivyo duniani kote. Hamna kukata tamaa. Pombe unajidanganya mwenyewe.

Amejiaibisha sana na kujidhalilisha.Wapende wasipende UKAWA ndiyo watawala wa DSM
 
Magu ni mtu mnafiki anapenda kutumia jina la Mungu bona anajua wanasegerea hawajamchagua kapita kwa lopehole aseme ccm hâta kata moja hawana segerea .mara ntwaudumia watanzania wote mara anabagua ndo maana hajui hâta kingereza
 
Rais anaweza kuwa ni mwenye bidii ya kazi lakini kwa hayo anayoyafanya yanatia shaka juu ya hekima na dhamira safi kwa watanzania.

Hii nchi ni ya Watanzania. Ameapa kuwatumikia watanzania na siyo CCM. Rais aheshimu sana demokrasia. Mwanadamu ana uwezo wa kuvumilia umaskini kuliko udikteta. Libya walikuwa na maendeleo makubwa ya kiuchumi lakini walinyimwa demokrasia, wakafikia mahali wakaona aheri wakose maendeleo ya kiuchumi lakini wapate uhuru wa mawazo na maamuzi.

Binadamu mara nyingi huwa wana hamu ya kile wanachokikosa huwa hawana hamu ya kile walicho nacho. Leo watanzania wana hamu sana ya maendeleo ya kiuchumi, wanadharau umuhimu wa demokrasia, watakapopata maendeleo wataangalia wanachokikosa na anayewakosesha.

Rais ni lazima alinde misingi ya demokrasia wakati akifqnya jitihada za kujenga uchumi na uadilifu. Vijembe, maneno ya mitaani, kejeli, Rais havimfai, amwachie Nape.
Genius!!!!
 
Mmeshakubali kwanza kama ndio Raisi wenu inabidi mkiri kwanza kwa ndimi zenu ndio protocol zingine ziendelee, kususa ndio jadi yenu na wala hakuna anayetazama kunyazi la mtu chuma kimeshakolea moto nyie wenyewe mtajua kama mrukie au make pembeni.

Sana ujue Rais wetu amejidhalilisha, kama kweli ameyaongea hayo na kukubali UBAGUZI wa kiitikadi uwepo kwenye issue za kitaifa.

Kinachopandwa huwa kinamea na kikimea kinakua.Hata Mbuyu ulianza kama mchicha.

Maneno ya kuwatenga wapinzani tuliyasikia kwa Samia Suluhu,sitashangaa Rais kuyatamka hadaharani
 
Wasukuma hatuna ngojera za kiswahili.Itakuwa hawakusafisha Ikulu na atakuwa kaambukizwa na Mkwere huo uswahili!
Tatizo la ndugu yenu anataka kuiga visivyowezekana.Na yeye atafute swaga zake kama Alinselema,Push up n.k
 
Hata mimi nilimsikia akifanya ubaguzi kwa wabunge wa vyama vingine kwa kusema uchaguzi sahihi ni wa Bona na atampendelea ktk mahitaji ya jimbo lake. I say to hell, haijalishi, mapambano dhihi ya ccm yataendelea mpaka siku watatoka tu. Historia ipo hivyo duniani kote. Hamna kukata tamaa. Pombe unajidanganya mwenyewe.
Bona anafahamu 100% kuwa bila mchezo mchafu, asingepata Ubunge. Hata 2020, huenda asirudi.
 
Yote tisa, kumi naona ni hili JIPU Sugu, JIPU kuu juu ya kichwa cha mwenye mji, JIPU la UMEYA wa JIJI la Dar es Salaam - kama serikali inafuata sheria sasa hizo figisu za kitoto za nini tena? Tupeni MEYA wa jiji tupate maendeleo, number huwa hazibadiliki - idadi ya wajumbe halali wa uchaguzi kamwe haitaongezeka hata mkitumia mazingaombwe.Kifupi, wakazi wa Dar es Salaam wameridhia kuongozwa na UKAWA, Mpende ama msipende.

Kama Dar es Salaam =Tanzania, basi wakazi wake imechagua kuongozwa na UKAWA,

hence Dar es Salaam = Tanzania = UKAWA.


FUSO..... UMEMALIZA PIA UMEELEZA KILA KITU, KELELE ZA CCM NI NYINGI SANA HATA UNAWEZA KUPAGAWA,
ATI OOH KWA UTENDAJI WA MAGUFULI WANAUKAWA WANACHUKUA KADI ZA CCM, WANADHANI TUMESHAHAU MAZINGAOMBWE YAO YA KUTENGENEZA KADI ZA CHADEMA NA KUDAI WATU WAMEZIRUDISHA, HAWAN KITU HAWA MBWA.... HATA MAGUFULI AFANYE NINI HATONITIKISA ZAIDI NAJUA ANATIMIZA WAJIBU WAKE, MIMI NI MUHUMINI WA UKAWA.. I WILL BE UKAWA (CHADEMA) 4EVER
 
  • Thanks
Reactions: BDN
Tatizo viongozi wengine wanapenda umaarufu mno sasa kukosa chance kama hiyo ya utambulisho hilo linamuuma mno, kama unataka umaarufu wenye heshima kashirikiane na wanachi wako waliokuweka katika hiyo nafasi kwa kuwaletea maendeleo. hata nyie mna katabia kakutokuheshimu viongozi wa serikali ambao wameteuliwa na Maraisi kwa sabab ya siasa zenu za chuki mpaka mnafikia kupelekana Mahakamani, Mbunge kumtolea maneno mbovu mbovu mkuu wa wilaya mbele ya wananchi hakuwa sawa, sasa nyie mnadharau viongozi wakuu au watu walioteuliwa na viongozi wakuu halaf nyinyi mnataka muheshimiwe, HALAFU NYINYI MLITOKA BUNGENI KUSEMA HAMUMTAMBUI RAIS NI LOWASA, NA YULE NI RAIS WA CCM?
 
Inawezekanaje mkuu wa nchi, amir jeshi mkuu, Rais. ..Unafanya jambo kama Lusinde hivi. ....inawezekanaje? Picha gani unayopeleka kwa wananchi? Maana yake wewe ni Rais unatokana na chama kinachokumbatia ubaguzi, kinachokumbatia siasa za chuki, kinachofuata tabia za kidikteta. ....

Wananchi endeleeni kujionea huyu Rais wa maigizo, anafanya maigizo halafu msahaulifu, maana alitangazia umma kuwa yeye ni Rais wa wote ,halafu kautangazia umma kwamba yeye ni Rais wa wana ccm tu. ...

Mungu hajalala na haya yote yana mwisho
 
Tatizo viongozi wengine wanapenda umaarufu mno sasa kukosa chance kama hiyo ya utambulisho hilo linamuuma mno, kama unataka umaarufu wenye heshima kashirikiane na wanachi wako waliokuweka katika hiyo nafasi kwa kuwaletea maendeleo. hata nyie mna katabia kakutokuheshimu viongozi wa serikali ambao wameteuliwa na Maraisi kwa sabab ya siasa zenu za chuki mpaka mnafikia kupelekana Mahakamani, Mbunge kumtolea maneno mbovu mbovu mkuu wa wilaya mbele ya wananchi hakuwa sawa, sasa nyie mnadharau viongozi wakuu au watu walioteuliwa na viongozi wakuu halaf nyinyi mnataka muheshimiwe, HALAFU NYINYI MLITOKA BUNGENI KUSEMA HAMUMTAMBUI RAIS NI LOWASA, NA YULE NI RAIS WA CCM?

Kwa hiyo,Magufuli ni RAIS wa CCM au?Hivi Meya anaingia Bungeni?Kwa vile wabunge wa Ukawa walitoka basi na yeye adhalilishe wengine??

Si sahihi kwa kosa kusahihishwa na kosa.
 
Back
Top Bottom