Rais Magufuli aliposema tuna akiba ya fedha za kigeni kuendesha Nchi kwa miezi sita bila kuzalisha hawakuamini, sasa tunaenda mwezi wa tatu

Kwa nini wabunge wasikatwe hela za posho kusaidia kypambana na korona wamekaa na vitambi vyao tu kule hawana hoja madhubuti za kupmbana na korona isipikuwa wawili watatu .kwa mfano kuna mwengine anataka taarifa za korona zisitangazwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Who paid you to write your rubbish in jF?
 
Akili yako ni sawa na corona. Kwani ww na Magufuli uwa mnazalisha nn. Walioua biashara ni nani kama siyo Magufuli. Naona karibu unaondolewa kwenye PAYROLL inabidi msifie tu hata yasiyosifiwa.
 
Milion 50 Ndio hizo elimu bure Mtoto wako anasoma bure, zahanati kila kona ya Nchi, umeme kila kijiji, barabara zimazopitika mwaka mzima

Hiyo Ndio milion 50 kamanda



Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni Kichwa maji kabisa

Ndivyo ulivyo danganywa hivyo huko Lumumba?
Unafikiri waTanzania ni wajinga kama ww?
 
Mimi sio kichwa maji brother

Wewe kijiji chako Hakuna elimu bure? Umeme sawa na bure! Zahanati ! Barabara ! Hiyo Ndio elimu bure

Sent using Jamii Forums mobile app
I'm talk about 50 mil to all Tanzania villages

Elimu bure halafu hakuna madawati,hakuna walimu wa sayari na hisabati,vyumba vya madarasa vimejaa popo,vyooni mende wamejazana,tehema mlizo ahidi zipowapi?walimu hawana makazi,barabara feki za kichina,zahanati hazina vitanda wala dawa
 
Cases haziongezeki km mnavyotamani iwe

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia akili wewe..nchi hii kila mtu anataka mema...usidhani watu kukosoa mfumo basi awaipendi nchi yao. Awe CHADEMA,CCM au CUF wote wanaipenda nchi yao ila ikitokea tatizo lazma walio na mawazo tofauti wakosoe. Kwasasa tumefikia 171 wakati tulianza na mmoja ndugu. Nakushauri sana usiwe mtu wakidhani upande wako ndo sahii siku zote.
 
Lini Chadema ikaitakia mema serkali hii ?

Chadema Siwezi kuwaheshimu kamwe labda waombe msamaha kwa Watanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha propaganda za kitoto hapa! Hebu kaisome ripoti ya cag kwanza ndio uje na hivi vinginjera vyako vya STD iv! Au yule cag ni wa Kenya? Katafute wa kumfunga kamba za migomba kwani hapa jf wapo wenye uelewa Mpana kuliko wewe mlamba viatu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…