Rais Magufuli aliposema tuna akiba ya fedha za kigeni kuendesha Nchi kwa miezi sita bila kuzalisha hawakuamini, sasa tunaenda mwezi wa tatu

Mnasihi

JF-Expert Member
Oct 9, 2013
7,047
2,000
Ifike mahali Watanzania wajiamini,tuna kiongozi bora sana wa Nchi ,

Sisi Tanzania tumebahatika kupata kiongozi anayechukia rushwa sana

Ni aghalabu kwa Nchi za kiafrica kumpata kiongozi Mzalendo kama Magufuli, viongozi Wengi wa Africa ni wapenda rushwa, Wengi wanashirikiana na Mabeberu kuwaibia Wananchi

Lakini Rais Magufuli amejitenga na ubadhirifu huo anawatumikia Wananchi wake kwa moyo mmoja, hana muda wa kwenda kwa Mabeberu kula kodi za Wananchi

Awamu ya tano awamu iliyojaa uzalendo

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha propaganda za kitoto hapa! Hebu kaisome ripoti ya cag kwanza ndio uje na hivi vinginjera vyako vya STD iv! Au yule cag ni wa Kenya? Katafute wa kumfunga kamba za migomba kwani hapa jf wapo wenye uelewa Mpana kuliko wewe mlamba viatu!
 
Mnasihi

JF-Expert Member
Oct 9, 2013
7,047
2,000
Mtoto wa Mbowe familia ilikuwa inataka atibiwe nyumbani

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeonywa hapo juu kuwa; acha kuropoka! Wewe uliyajuaje yote hayo kuhusu familia ya mtu? Au unamuigiza makonda a polepole kuropoka? Mbona waliyoonywa ndio yanayotokea na yamewazidi kimo Sasa? Chunga msamba wako usijrechanika na ukitaka kuyajua vyema maonyo haya kamtafute musiba akusimulie yanayomsibu! Kaachwa apambane na Hali yake kwani ccm Ina wenyewe na wewe ni kiboboru tu kwenye shamba la maharage kula uende zako pangoni!
 
Bia yetu

JF-Expert Member
Apr 14, 2020
6,925
2,000
Kwahiyo Unataka nikusaidiaje Wewe mtambo
Lipa kodi ya nyumba acha stress

Utamsaidiaje mwingine ilihali wewe hujiwezi na umesaidiwa na shemejio? Utajua hujui pindi dadako akiachika! Kwa taarifa yako Mimi ni Kobe Sina haja na nyumba kwani niliyonayo haipangishiki! Sidhani Kama unanielewa kwani natambua huna uwezo wa kunielewa! Funga bakuli lako Sasa ukahangaike kugongea nauli ya kukurejesha kwa shemejio!
 
Bia yetu

JF-Expert Member
Apr 14, 2020
6,925
2,000
Chadema mlizaliwa na matusi ?
Utamsaidiaje mwingine ilihali wewe hujiwezi na umesaidiwa na shemejio? Utajua hujui pindi dadako akiachika! Kwa taarifa yako Mimi ni Kobe Sina haja na nyumba kwani niliyonayo haipangishiki! Sidhani Kama unanielewa kwani natambua huna uwezo wa kunielewa! Funga bakuli lako Sasa ukahangaike kugongea nauli ya kukurejesha kwa shemejio!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
5,263
2,000
Ifike mahali Watanzania wajiamini,tuna kiongozi bora sana wa Nchi ,

Sisi Tanzania tumebahatika kupata kiongozi anayechukia rushwa sana

Ni aghalabu kwa Nchi za kiafrica kumpata kiongozi Mzalendo kama Magufuli, viongozi Wengi wa Africa ni wapenda rushwa, Wengi wanashirikiana na Mabeberu kuwaibia Wananchi

Lakini Rais Magufuli amejitenga na ubadhirifu huo anawatumikia Wananchi wake kwa moyo mmoja, hana muda wa kwenda kwa Mabeberu kula kodi za Wananchi

Awamu ya tano awamu iliyojaa uzalendo

Sent using Jamii Forums mobile app
Yan MAGUFULI awe kiongozi bora? Embu kuwa serious wewe zuzu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pakaywatek

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
4,445
2,000
Mimi huwa namwamini sana Rais Magufuli katika hotuba si mtu wa porojo wala kupindisha maneno, anaongea ukweli

Unaweza kumwita Magufuli ni Mussa anayetupeleka katika Nchi ya ahadi, alinusa kuwa dunia itakumbwa na msuko suko wakajipanga mapem.

Kipindi cha nyuma kidogo Rais Magufuli aliwahi kuwaambia Wananchi wake kuwa Serkali ina akiba ya fedha za kigeni kuendesha Nchi kwa miezi sita bila kuzalisha,kuna baadhi ya wanasiasa walitilia mashaka maneno yake

Lakini ukweli Sasa umedhihirika ,tunaingia mwezi wa watatu toka korona iingie Africa mashariki Hivyo kupelekea shughuli nyingi za uchumi kusimama Mfano sector ya utalii imesimama kabisa ambayo inachangia kwa kiasi kikubwa katika pato la Taifa ,na shughuli nyingine nyingi za kiuchumi zimesimama Kwasasa

Lakini Ukiangalia Mambo yanaenda barabara husikii ukosefu wa petrol, husikii wabunge wamekosa posho tofauti na Rwanda ambapo Viongozi wanakatwa mishahara ili kufidia mapungufu ya Serkali yaani kwa ufupi Mambo ni swadakta

Hii Ndio faida ya kiongozi anayewaza mambo ya kesho

Tunazidi kukuombea Rais wetu, Mungu aendelee kukupa busara na upendo ili uendelee kututumikia vyema sisi Watanzania.

Corona upite mbali uiache Tanzania ,Ndani ya May shughuli za kiuchumi zirejeleeSent using Jamii Forums mobile app
Huyuhuyu mnyang'anyi wa pesa za rambirambi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mibas

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
3,981

Kwa taarifa yako Rwanda hawajapata upungufu wa pesa katika mapambano dhidi ya Corona. Nje ya pesa zao wenyewe ndani ya mwezi huu wamepewa na IMF karibi dola 109M, wamepewa na IDA zaidi Dola 52, wamepewa na World Bank zaidi ya 13M hapo bado sijaweka sijui $25M walizopewa na EU na pesa sijui za AfDB nk. Ndio maana wao kwa siku hufanya tests za corona kati ya 700 - 1200. Kama leo wamefanya 1299 na zote negative. Wana kesi za Corona 147 na 80 wameshapona na hawana kifo chochote. Ni jirani/marafiki zetu wazuri kuna mengi ya kujifunza kutoka kwao.
Screenshot_20200403-101028~2.jpg
Screenshot_20200409-124639~2.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wolfpack

JF-Expert Member
Aug 6, 2013
847
1,000
WACHENI KUFANYA KAMPENI ZISIZO NA MBELE WALA NYUMA.! NI MAPEMA SANA KUZUNGUMZA HIVYO IN ANALYSTICAL POINT OF VIEW, NGOJA TUFIKE PEAK YA MAABUKIZI NDO UZUNGUMZE, 250 NDO KWANZA KUMEKUCHA KUNA MASAA YAKUTOSHA MPAKA JUA LIZAME MKUU. TOO EARLY TO SAY SO.
Mimi huwa namwamini sana Rais Magufuli katika hotuba si mtu wa porojo wala kupindisha maneno, anaongea ukweli

Unaweza kumwita Magufuli ni Mussa anayetupeleka katika Nchi ya ahadi, alinusa kuwa dunia itakumbwa na msuko suko wakajipanga mapem.

Kipindi cha nyuma kidogo Rais Magufuli aliwahi kuwaambia Wananchi wake kuwa Serkali ina akiba ya fedha za kigeni kuendesha Nchi kwa miezi sita bila kuzalisha,kuna baadhi ya wanasiasa walitilia mashaka maneno yake

Lakini ukweli Sasa umedhihirika ,tunaingia mwezi wa watatu toka korona iingie Africa mashariki Hivyo kupelekea shughuli nyingi za uchumi kusimama Mfano sector ya utalii imesimama kabisa ambayo inachangia kwa kiasi kikubwa katika pato la Taifa ,na shughuli nyingine nyingi za kiuchumi zimesimama Kwasasa

Lakini Ukiangalia Mambo yanaenda barabara husikii ukosefu wa petrol, husikii wabunge wamekosa posho tofauti na Rwanda ambapo Viongozi wanakatwa mishahara ili kufidia mapungufu ya Serkali yaani kwa ufupi Mambo ni swadakta

Hii Ndio faida ya kiongozi anayewaza mambo ya kesho

Tunazidi kukuombea Rais wetu, Mungu aendelee kukupa busara na upendo ili uendelee kututumikia vyema sisi Watanzania.

Corona upite mbali uiache Tanzania ,Ndani ya May shughuli za kiuchumi zirejeleeSent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom