Rais Magufuli aliposema tuna akiba ya fedha za kigeni kuendesha Nchi kwa miezi sita bila kuzalisha hawakuamini, sasa tunaenda mwezi wa tatu

THEBADDEST

JF-Expert Member
Dec 22, 2019
250
250
Kwa nini wabunge wasikatwe hela za posho kusaidia kypambana na korona wamekaa na vitambi vyao tu kule hawana hoja madhubuti za kupmbana na korona isipikuwa wawili watatu .kwa mfano kuna mwengine anataka taarifa za korona zisitangazwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magezi

JF-Expert Member
Oct 26, 2008
3,333
2,000
Mimi huwa namwamini sana Rais Magufuli katika hotuba si mtu wa porojo wala kupindisha maneno, anaongea ukweli

Unaweza kumwita Magufuli ni Mussa anayetupeleka katika Nchi ya ahadi, alinusa kuwa dunia itakumbwa na msuko suko wakajipanga mapem.

Kipindi cha nyuma kidogo Rais Magufuli aliwahi kuwaambia Wananchi wake kuwa Serkali ina akiba ya fedha za kigeni kuendesha Nchi kwa miezi sita bila kuzalisha,kuna baadhi ya wanasiasa walitilia mashaka maneno yake

Lakini ukweli Sasa umedhihirika ,tunaingia mwezi wa watatu toka korona iingie Africa mashariki Hivyo kupelekea shughuli nyingi za uchumi kusimama Mfano sector ya utalii imesimama kabisa ambayo inachangia kwa kiasi kikubwa katika pato la Taifa ,na shughuli nyingine nyingi za kiuchumi zimesimama Kwasasa

Lakini Ukiangalia Mambo yanaenda barabara husikii ukosefu wa petrol, husikii wabunge wamekosa posho tofauti na Rwanda ambapo Viongozi wanakatwa mishahara ili kufidia mapungufu ya Serkali yaani kwa ufupi Mambo ni swadakta

Hii Ndio faida ya kiongozi anayewaza mambo ya kesho

Tunazidi kukuombea Rais wetu, Mungu aendelee kukupa busara na upendo ili uendelee kututumikia vyema sisi Watanzania.

Corona upite mbali uiache Tanzania ,Ndani ya May shughuli za kiuchumi zirejeleeSent using Jamii Forums mobile app
Who paid you to write your rubbish in jF?
 
Kuntakint

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
1,769

Akili yako ni sawa na corona. Kwani ww na Magufuli uwa mnazalisha nn. Walioua biashara ni nani kama siyo Magufuli. Naona karibu unaondolewa kwenye PAYROLL inabidi msifie tu hata yasiyosifiwa.
 
Rhz4567

JF-Expert Member
Mar 16, 2018
3,266
2,000
Mimi sio kichwa maji brother

Wewe kijiji chako Hakuna elimu bure? Umeme sawa na bure! Zahanati ! Barabara ! Hiyo Ndio elimu bure

Sent using Jamii Forums mobile app
I'm talk about 50 mil to all Tanzania villages

Elimu bure halafu hakuna madawati,hakuna walimu wa sayari na hisabati,vyumba vya madarasa vimejaa popo,vyooni mende wamejazana,tehema mlizo ahidi zipowapi?walimu hawana makazi,barabara feki za kichina,zahanati hazina vitanda wala dawa
 
Bishweko

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
2,995
2,000
Cases haziongezeki km mnavyotamani iwe

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia akili wewe..nchi hii kila mtu anataka mema...usidhani watu kukosoa mfumo basi awaipendi nchi yao. Awe CHADEMA,CCM au CUF wote wanaipenda nchi yao ila ikitokea tatizo lazma walio na mawazo tofauti wakosoe. Kwasasa tumefikia 171 wakati tulianza na mmoja ndugu. Nakushauri sana usiwe mtu wakidhani upande wako ndo sahii siku zote.
 
Bia yetu

JF-Expert Member
Apr 14, 2020
6,925
2,000
Lini Chadema ikaitakia mema serkali hii ?

Chadema Siwezi kuwaheshimu kamwe labda waombe msamaha kwa Watanzania
Tumia akili wewe..nchi hii kila mtu anataka mema...usidhani watu kukosoa mfumo basi awaipendi nchi yao. Awe CHADEMA,CCM au CUF wote wanaipenda nchi yao ila ikitokea tatizo lazma walio na mawazo tofauti wakosoe. Kwasasa tumefikia 171 wakati tulianza na mmoja ndugu. Nakushauri sana usiwe mtu wakidhani upande wako ndo sahii siku zote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom