Rais Magufuli alimaanisha nini aliposema Anawapenda na kuwajali watumishi wa umma?

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
10,526
13,015
mwaka wa tatu tangu aingie madarakani hajaongeza hata ndululu kweye mishahara yao. hali ya maisha ya watumishi imekuwa hohehahe.
huku hali ya maisha ikiwa imebadilika. mfano waaoishi kwenye nyumba za kupanga kodi zinapada, karo za shule na vyuo zinapa kila mwaka.
mazingira ya kazi ni duni huko halashaur ..
katika utawala wake watumishi wamenyanyaswa na kuitwa majina mabaya mf wazembe na wezi rejea ziara za Rc makonda
Hakuna kupandishwa madaraja wala motisha.
vyama vya wafanyakazi vimetiwa kabar ili visifurukute kuhoji (aliwaita viongozi wa vyama) na kuwapa mlungula mwanzoni kabisa nk
sasa leo anaposema anawajali wafanyakazi anamaanisha wafanyakazi gani? hawa wa umma au wale wanaomlinda na magurueti ?
maana miongoni mwa maraisi katili kwa watumishi yeye ni number moja! kama kweli anawajali mbona anawakamua PE huku yy na wakubwa wenzake hawalipi hata kumi? iweje raisi huyu mzalendo asiamuru viongozi wanaolipwa milions wakatwe PE ? mbona hajapunguza PE
raisi asiwahadae watumishi awaache wameshazoea kudanganywa , kunyanyaswa na kukandamizwa!
Heri ya mwaka mpya.
ndimi lofa.
 
Jamani Salome una kiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Kinoamiguu PE ndio malipo gani haya?
 
Achen kum ghasi Rais wetu!
huyo lazima aghasiwe maana ni kiongozi wa watu na sio mkamilifu. wewe na mazwazwa wenzio ndio mmejingishwa kwamba ati panaweza kuwa na maendeleo bila demokrasia? wehu nyinyi si angeyaleta kambarage?
 
Kama Ni Maandamano awepo Nchi nzima mpaka Moshi sio kujifanya kuchochea Wenzenu Halafu kwenu panabaki shwari pa Wenzenu ndio pavurugike
 
punguani kabisa mnafikiri mnapowagawa watu kwa makabila na dini zao kila siku itakuwa hivyo .cuf mliita cha waislam kutugawa, cdm cha wachaga kutugawa.hata yakifanyika dar inatosha kuijulisha dunia ujinga na ushamba wenu
mmezoea kuiba kura?
 
Iwe kuwagawa Au kuwapasua utajua Wewe

Mnazunguka Mbeya, Arusha, Mwanza, Dsm, Iringa kote mnachochea Maandamano Na kushawishi watu wasichangie shughuli Za Maendeleo ,
Mkirudi kwenu Moshi hamtaki Maandamano Na mnahamsishana kuchangia shughuli Za Maendeleo bila ya kujali Chama!

Sasa hivi nasi tunahamasishana Kama nyinyi

Kama Ni Maandamano Kila Mtu akaandamanie kwao,
 
kwa kuwa wafanyakazi hukiwaonea hawajui namna ya kujitetea, wastaafu hawajalipwa mafao yao wako kimya tu,
 
Back
Top Bottom