Rais Magufuli akutana na Wilson Masilingi, Philip Marmo na Jenerali George Waitara Ikulu Dar

Rais Dkt Magufuli akutana na Mabalozi Wilson Masilingi na Philip Marmo pamoja na mkuu wa Majeshi mstaafu Jenerali George Waitara Ikulu Dar es salaam
ma1.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe Wilson Masilingi aliyekutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 12, 2016
ma1a.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe Wilson Masilingi aliyekutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 12, 2016.
ma2.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea zawadi ya kitabu kutoka kwa Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali George Waitara aliyekutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 12, 2016.
ma2a.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali, George Waitara baada ya kukutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 12, 2016
ma4.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Mhe: Philip Marmo alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 12, 2016
Mdau kama upo karibu na Rais Magufuli hembu ujaribu kumnong'oneza afanye kauchunguzi hawa washia waliokuwa wakifanya ibada zao hapo diamond isije ikawa kama yale ya enzi za Mwalimu za kuhamisha hela bila kodi.
 
NI KWELI NLICHEMSHA MKUU,ILA NLISHAWEKWA SAWA....NI KWELI JAMAA ANASTAHILI HESHIMA

OVA
 
Kuna uwezekano pana ukweli maana wale waliokuwa wana uhusiano negative na JK mkuu ndio marafiki zake!
Ngoja niunganishe dots...
P. Kagame..... Dr. Ramadhan D. Na..., na....!!!
Mmmh! wako wengi ila mkuu hamna kaichochezi kweli hapa??
 
Kwa hali ilivyo CDF mpya alishapatikana miezi 9 iliyopita. Na huyu ni CoS wa sasa.. Lt. Gen. Mabeyo.. Hajafikia muda wa Kustaafu bado.. Ameingia kwenye Unadhimu Januari..
Anatoka DMI kama ilivyokuwa CDF wa sasa hivyo Jeshi analijua vizuri..
 
Afisa wa jeshi kuanzia cheo cha brigedia jenerali kwenda juu anaitwa "afisa mnadhimu" ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,kwa hiyo luteni jenerali Mabeyo alikuwa kwenye "unadhimu " tangia alipokuwa na cheo cha brigedia jenerali.
 
Huyo Hapewi ....
Kuna mambo mengi sana yanaangaliwa ikiwemo general mtarajiwa anaongelewaje na askari wa kawaida kabisa kupitia watu wa usalama ....na ushauri wa wazi wa Jenerali aliyepo na wale wastaafu kama kina Musuguri,Mboma,Waitara ma waandamizi mfano Kina Sayore,Mwakalindile etc
Mkuu Philemon Mikael ulishawahi kumuona Gen,Simon Fundi Sayore amecheka tugawane uzoefu kidogo
 
Ila nampongeza kwa kuandika kitabu
Maana watu wengi wanaotumia nguvu huwa hawajishughulishi na mambo ya kitaaluma

Ningetamani na mimi nikisome

Ila kwanini alistaafu akiwa kijana sana?
UNAPONGEZA HUJAKISOMA VIPI UKINUNUA HALAFU UKUTE NDIO ANAEJIITAGA MZEE MWANA KJ KJ SI UTABWEKA BADALA YA KULIA
 
Mkuu Halima, ninachojua kuwa CDF anastaafu baada ya kumaliza miaka minne katika madaraka hayo au kama ametimiza miaka 60 whichever comes first. Baada ya hapo ni "discretion" ya Amiri Jeshi Mkuu ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kama "alistaafu" akiwa na umri wa miaka 57 basi ni dhahiri alikuwa ameishatumikia madaraka hayo siyo chini ya miaka minne (4).
vp kihusu davis mwamunyange kuanzia 2007 mpaka sasa ni miaka mingapi ?
naomba unieleweshe mimi mwanachi wa kawaida
 
Hawa ndiyo mabalozi muhimu sana. Wale wengine wa Jamaica na Grenada walikutanishwa kwenye ukumbi na kupewa lecture na onyo waache kukaa maofisini. Sijui huyu Marmo role yake ilikuwa hasa nini kwenye G55. Ametokea kuwa mtu muhimu sana kwenye nchi hii.
 
Mpaka hapo General mpya ameishapatikana, hakuna jipya zaidi ya kwenda kunywa Chai Ikulu tu!
 
Ndugu Michael
The die is almost casted after here and there from Top Security Machinery.

It's very intrigue for Our No. 1 citizen, by looking on the current trend of reshaping the country....We need a loyal Boot at the Command.

(Am reserving my thoughts and believe for now....until December when final and final decision shall be made)

there are very good generals who never made it to the number one stop ....because of the altitude ..toward men ...,i agree with you on loyalty ,yes...but with the current situation the incumbent general has set a good standard ..especially with his good relations with followers ...when they trust you they are likely to receive orders heartly ..one retired commander once told me that ...in command training ..they are trained to win men"s hearts ...men are ready to die for a commander if they believe him .....so that kind of trait for a top slot is very important ....a person who is expected to settle dusty ..and get listened ...
Generals like Musuguri and Kiaro ...did not have formal education beside the formal military and leadership training ....but could lead officers even with phd because of wisdom ....you don't get wisdom from any school...and todate all predecessors are compared to these oldies into the standard they set in living with men....and descipline ...the current one who in several occasion he served under then as aide in different occasion had time to learn these ..,i believe he has prepared enough commanders with such discipline
 
I second you mkuu....
huyu askari wanamkubali sana...
unajua askari wanapenda mtu shupavu...anayekaa nao field ,sio tu apigwe na kipupwe ofisini .......ukikaa nao utawaelewa sana , wanaheshimu mtu mwenye cheo cha kusotea ..ie kapigana vita ,kaongoza vita ,commando,pilot maarufu.,super spy.......kuliko bookish theoretical general
Bookish general ni kama wale ambao wameingia direct na kupata uafisa [maj] mfano , huyu kiuongozi huwezi kumfananisha na ambaye kaazia chini kabisa akaiva kabla ya kwenda monduli kupata nyota ....ndio maana kwa sasa askari hata aingie na elimu lazima asote kama miaka miwili hivi kabla ya kwenda monduli ...kwakuwa inaonekana vijana wanadharau hawa wasomi waliorushwa ....mtu kama CDF anayekaribia kuondoka pamoja na kuwa kasoma ...kaanzia chini ,kwa hiyo anajua matatizo ya askari wa chini na anajua maisha yao na vitu wanavyopenda ...maafisa wapya kwa sasa wengi hiyo fursa hawanywimwi ..baada ya hapo nyuma kidogo kurusha wasomi ...ikaonekana its not very effective

Nafikiri kwa wachambuzi wa mambo huku ndani watakumbuka tulivyokuwa tunafanya uchambuzi wa polisi na namna CP andengenye [sasa CGF] Alivyoukosa u IGP pamoja na kuwa competent kutokana na hiyo factor aliingia direct akavaa nyota ....wakati mwenzake waliokuwa wote inasememekana wamependekezwa IGP mangu ...yeye kavuruga kuanzia u Police Constable ...akapanda taratibu ....ikaonekana polisi watamsikia zaidi huyo
 
Kama kaandika kitabu brgd mstaafu huyo anastahili PONGEZI,maana maprofesa wetu hatuwasikiagi au kiwaona wakiandika vitabu...kutwa kukimbilia ktk siasa...

OVA
Sio Brigadier General huyo ni General (RTD)
 
Comrade P. Michael
Mostly in African Leadership, the Elite requires Loyalist as number one factor. The second is performance
As far as New Command next year, loyal matters the same as you saw happened at TISS.
FYI, due to HIS leadership style the number one Citizen is faced with unseen enemies
 
Rais Dkt Magufuli akutana na Mabalozi Wilson Masilingi na Philip Marmo pamoja na mkuu wa Majeshi mstaafu Jenerali George Waitara Ikulu Dar es salaam
ma1.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe Wilson Masilingi aliyekutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 12, 2016
ma1a.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe Wilson Masilingi aliyekutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 12, 2016.
ma2.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea zawadi ya kitabu kutoka kwa Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali George Waitara aliyekutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 12, 2016.
ma2a.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali, George Waitara baada ya kukutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 12, 2016
ma4.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Mhe: Philip Marmo alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 12, 2016
marmo hajastaafu tu ..watu wengine hii nchi washakaa sana bhana khaa ..toka enzi za mwalimu,mara akawa naibu spika ,waziri etc etc
 
Back
Top Bottom