Rais Magufuli akutana na Wilson Masilingi, Philip Marmo na Jenerali George Waitara Ikulu Dar

Gen. Waitara ni ofisa wa mfano kwa mambo mengi. Mbali na uandishi huu wa kitabu, ndiye aliyebuni na kusimamia ujenzi wa uwanja wa kisasa wa golf Lugalo pamoja na uanzishwaji wa Lugalo Golf Club. Pia Gen. Waitara ni mchezaji mahiri wa golf na kwa sasa ndiye bingwa katika hiyo club.
 
Ni kweli kabisa mkuu.
 
maandalizi ya kumpata CDF mpya lazima kupata maoni ya all former CDF na handful ya majenerali wengine waandamizi wastaafu ,,...so ni audience za kawaida kabisa kila baada ya muda fulani ,,,,na mara nyingine hukutana nao kwa pamoja ...sema zamani zilikuwa hazitolewi taarifa maana ni vikao vya ndani vya kazi
Watu kama wewe ni wachache sana ktk kizazi hiki...!!!
Msaada wako ni muhimu sana sana ktk kukiongoza ktk njia stahiki hichi kizazi kipotevu...
Wao kila siku huwaza uchonganishi tu kwa viongozi wetu wazalendo...
 
Kiongozi mzalendo ni nani???
 
Labda kuhusu uhakiki wa vyeti. Maana hivi ukifukuza kazi wanajeshi elfu 40, Polisi elfu 20 kwa vile wameajiriwa kwa vyeti sio vyao itakuwaje huku mtaani? Maana hao sio walimu!
Itakuwa ni HATARI kwasababu Wanajeshi, magereza,KJT,Mgambo, Police, ...hawa wote kazi yao ni ULINZI, wanalinda USALAMA kwa kugawana majukumu.kwa hiyo ukiwafukuza unatengeneza jeshi lingine uraiani. kwa hiyo kinyume cha USALAMA ni HATARI. kwa hiyo haya majeshi ni vizuri yaachwe kama yalivyo kwa kuwa tayari wana mafunzo. Ila kuanzia sasa serikali ijipange upya watakaoingia kuanzia sasa wawakague vyeti kabla ya kuwapatia mafunzo ya kijeshi.
 
Back
Top Bottom