Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,534
- 8,619
Comrade P. Michael
Mostly in African Leadership, the Elite requires Loyalist as number one factor. The second is performance
As far as New Command next year, loyal matters the same as you saw happened at TISS.
FYI, due to HIS leadership style the number one Citizen is faced with unseen enemies
Loyalty muhimu ..lakini jeshini ni tofauti sana na usalama au polisi ....kule wanaheshimu sana seniority ........lazima atalazimika kuchagua watu aliopendekezewa na wazee ....hilo moja ..,pili hataweza kumchukua "outsider" na kumpa ...hatapewa ushirikiano ...wale they never compromise ....eti umrushe Bregadier General Umpe U CDF uwaache wa juu yake ....utaulizwa hao hawafahi kabisa ....
kuna wakati JK alimtaka LT GEN NDOMBA hii mada huku ndani ipo ....malalamiko yalikuwa makubwa sana kwakuwa alianza kumpa vyeo haraka haraka toka RC, akiwa kanali akampa u brigadier ,haraka ukuu wa jkt alafu CS ...lakini ili ampe huo u cs .....ilibidi ma senior Maj General waliokuwapo Mela Na Rioba nao awape three stars ...na kwakuwa huwezi kuwa na three stars zaidi ya mmoja kwenye jeshi na wala Ndomba hangeweza kuvaa three stars kabla ya waliomtangulia kupanda kuvaa hasa ukizingatia hawana kosa la kinadhim basi wale akawatafutia kazi zingine na vyeo vyao wakaenda kusubiri kustaafu ...its costly na tunajua rais wetu hawezi kufanya option kama hiyo ....ya kuwapandisha seniors wote walioko pale kuwatafutia kazi ili tu atafute kujenga mtandao mpya .....we have the proffessional army than any one in the region ..maafisa wote wa juu wanaweza kuaminika ...hata kama sio wa kutoka kwako.