Rais Magufuli akitoka madarakani miradi hii itakufa, na sababu ni kuzianzisha bila kuwa na mazingira ya mwendelezo

Kwa taarifa nilizonazo SGR inakamilika katika kipindi cha uongozi wake.

Fedha zipo na zinalipwa kwa wakati.
 
Magufuli kaanzisha baadhi ya miradi na pengine kwa nia njema lakin anatumia nguvu sana kutafta hela kwa njia yeyote hasa kuwakamua watanzania ili hela ipatikane apate kutimiza miradi hiyo

Sehem anazolazimisha hela kutoka ni

1.Hela ya wastaafu ya NSSF, kawalazimisha mpaka sasa kwamba watapata 25% badala ya 100% nyingine kwenye miradi yake

2.Kodi zisizo na kipimo
3.Matajiri kushurutishwa
4.Tozo zisizokuwa za lazima mfano kwenye ndege zinazoruka Tanzania kwa sasa wanatozwa 100,000,000 kwa mwaka
5.Gharama za kuendesha taasisi za kifedha zimepanda Mara tatu kulinganisha na awali, na ushuru wa kuendesha benki imekuwa juu sana kwa mwaka ,hasa za binafsi

Miradi itakayosimama baada ya mwaka 2025 ni

1.Elimu bila malipo ambayo inacost taifa 23 billion kwa mwezi yaan 23,000,000,000 kila Mtanzania hapo kwa mwezi anachangia 460 Tsh maana watu 50,000,000 ukigawa kwa hizo bilion ,

2.SGR inaweza ikaishia katikati
3.Kupakia Dodoma kunaweza kufeli

Nadhani kuna miradi mingine unaijua itafeli,

Britannica
Dodoma sasa imefeli vip? Mbona serikali iko huko
 
Anang'atuka lini mkuu?
2020 kama utasubiriwa utaratibu wa kiungwana. Lakini naogopa sana tunakoelekea hii miaka miwili tunaweza kufikia watumishi wa umma wakakosa mishahara na sijui itakuwaje ikikifikia wale chuichui kukosa mshiko!
 
SASA HIVI KILA KIONGOZI ANAYETOA HOTUBA MWISHONI ANAAMBIWA AMSIFIE MAGUFULI..HUU NI UCHIZI...MKUU WA WILAYA YA KOROGWE JANA KAMSHUKURU MAGUFULI KWA MSAADA ULIOTOLEWA NA NORWEGIAN CHURCH AID, WLAC NA SAKINA LYOKA...AMESHINDWA KUWASHUKURU HAWA WATATU ANAMSIFIA BOSI WAKE ALIYEMTEUA..
Sasa hivi (sijui ni amri?) hiyo imekuwa ndio desturi. Hata maafisa kilimo wakishukuru mvua ni nzuri Kwa msimu huu badala ya kumshukuru Mungu wenyewe wanataja juhudi za Magu! Hakika huu ugonjwa Magu maniac uliopandikizwa umetamalaki
 
Muda si mrefu tutaachana na haya maisha,kama si 2020 basi 2025 ila asijichanganye tu kuongeza!
 
2.SGR inaweza ikaishia katikati
3.Kupakia Dodoma kunaweza kufeli
Endelea kuota,mpaka 2020 SGR itakua imeshafika kahama,mpaka 2025 mradi utakua umekwisha
Stieglers gorge inatakiwa iishe 2020
Hamchoki kuombea mabaya nchi halafu unasahau baso miaka kama 7 hivi
 
Miradi kufa hicho ni kitu kidogo. Kuna mambo makubwa yamekufa hata kabla hajatoka:
1. Utu na utamaduni wa mtanzania wa kupendana bila kujali itikadi utakufa kabisa
2. Yule ajaye ana kazi ya kurudisha utanzania halisi wenye ile kauli mbiu ya Nyerere ' Kila mtu anastahili heshima na kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake"
3. Mshikamano wa kitaifa utakuwa haupo tena TZ
4. Chuki itakuwa imetawala miongoni mwa watanzania
5. Visasi miongoni mwa jamii vitakuwa ndio chakula cha kila siku.
6. Upendo miongoni mwa watanzania utakuwa historia
7. Ipo haja ya kuanza mapema kukemea mbegu mbaya inayopandwa kwenye jamii yetu.
8. Viongozi wa dini wakemee hii hali badala ya kuwa na mahubiri ya kinafiki ya kusiffia wakati ukweli wanauona.
Lakini si mulilaumu kuwa Lowassa ana visasi ili kumhalalisha Membe? Mungu alivyowaajabu akawaumbua wote. Waliobaki kulilia mitandaoni ni Team Membe ambao hawana Kura hata moja. Magufuli na mtaji wa kura 8m+ na Lowassa 6m+. Mbona hawa hawangombani?

Anayepinga miradi ya maendeleo haitakii nchi hii mazuri. Kama kuna ubaguzi tuzungumze, haya yanazungumzika. Sana sana tuongee na hisia kuliko uhalisia. Mimi kwangu mimi naona serikali ni ya watu wote. Siyo ya kanda ya ziwa ni watanzania. Wateule wametokea sehemu zote za nchi. Nchi yetu ina mshikamano tuwache kuongozwa na chuki.
 
Magufuli kaanzisha baadhi ya miradi na pengine kwa nia njema lakin anatumia nguvu sana kutafta hela kwa njia yeyote hasa kuwakamua watanzania ili hela ipatikane apate kutimiza miradi hiyo

Sehem anazolazimisha hela kutoka ni

1.Hela ya wastaafu ya NSSF, kawalazimisha mpaka sasa kwamba watapata 25% badala ya 100% nyingine kwenye miradi yake

2.Kodi zisizo na kipimo
3.Matajiri kushurutishwa
4.Tozo zisizokuwa za lazima mfano kwenye ndege zinazoruka Tanzania kwa sasa wanatozwa 100,000,000 kwa mwaka
5.Gharama za kuendesha taasisi za kifedha zimepanda Mara tatu kulinganisha na awali, na ushuru wa kuendesha benki imekuwa juu sana kwa mwaka ,hasa za binafsi

Miradi itakayosimama baada ya mwaka 2025 ni

1.Elimu bila malipo ambayo inacost taifa 23 billion kwa mwezi yaan 23,000,000,000 kila Mtanzania hapo kwa mwezi anachangia 460 Tsh maana watu 50,000,000 ukigawa kwa hizo bilion ,

2.SGR inaweza ikaishia katikati
3.Kupakia Dodoma kunaweza kufeli

Nadhani kuna miradi mingine unaijua itafeli,

Britannica
Chattle Airport watakuwa wanatua popo.
 
Aliyesema nchi ni ya kanda ya ziwa ni nani? Mbona mnajishitukia?
 
Magufuli kaanzisha baadhi ya miradi na pengine kwa nia njema lakin anatumia nguvu sana kutafta hela kwa njia yeyote hasa kuwakamua watanzania ili hela ipatikane apate kutimiza miradi hiyo

Sehem anazolazimisha hela kutoka ni

1.Hela ya wastaafu ya NSSF, kawalazimisha mpaka sasa kwamba watapata 25% badala ya 100% nyingine kwenye miradi yake

2.Kodi zisizo na kipimo
3.Matajiri kushurutishwa
4.Tozo zisizokuwa za lazima mfano kwenye ndege zinazoruka Tanzania kwa sasa wanatozwa 100,000,000 kwa mwaka
5.Gharama za kuendesha taasisi za kifedha zimepanda Mara tatu kulinganisha na awali, na ushuru wa kuendesha benki imekuwa juu sana kwa mwaka ,hasa za binafsi

Miradi itakayosimama baada ya mwaka 2025 ni

1.Elimu bila malipo ambayo inacost taifa 23 billion kwa mwezi yaan 23,000,000,000 kila Mtanzania hapo kwa mwezi anachangia 460 Tsh maana watu 50,000,000 ukigawa kwa hizo bilion ,

2.SGR inaweza ikaishia katikati
3.Kupakia Dodoma kunaweza kufeli

Nadhani kuna miradi mingine unaijua itafeli,

Britannica
kilaza katika ubora wako wa kubwabwaja
 
Back
Top Bottom