Rais Magufuli akitoka madarakani miradi hii itakufa, na sababu ni kuzianzisha bila kuwa na mazingira ya mwendelezo

Naona unatabiri kwa kutumia iluganga uliorithi kwa babu yako. Watu wamethubutu na wameweza na wanasonga mbele we endelea kuota ndoto tuuu.

Taabu na mateso lazima viwepo kwa maslahi ya vizazi vijavyo, nakushauri we zaa tuu uwezavyo.

Reli ya kati ilijengwa na watanzania kwa mateso makubwa sana yasiyoelezeka lakini waha wamenufaika nayo pasipo kujua mateso ya mababu zao kwa faida ya vizazi vyao.
 
Natabiri kuwa hatatoka hadi miradi aliyoianzisha na mingine itakayoanza kipindi cha utawala wake ikamilike 100% !!!!#
Yeye mwenyewe keshachoka na kuonyesha kukata tamaa mapema. Fuatilia mazungumzo na apearance yake kwa sasa 2020 atarudisha jezi mwenyewe. Na watu wameshaliona hilo ndani ya chama chake. Ukiwa unaangalia mechi mara ukaona kunamchezaji/wachezaji wanapasha pembeni ujue kuna atakayetoka.
 
Hakika hiyo ni ndoto ya Alinacha.
Akiacha wapigaji watarejea na kujua miradi yote aliyoanzisha.
 
SASA HIVI KILA KIONGOZI ANAYETOA HOTUBA MWISHONI ANAAMBIWA AMSIFIE MAGUFULI..HUU NI UCHIZI...MKUU WA WILAYA YA KOROGWE JANA KAMSHUKURU MAGUFULI KWA MSAADA ULIOTOLEWA NA NORWEGIAN CHURCH AID, WLAC NA SAKINA LYOKA...AMESHINDWA KUWASHUKURU HAWA WATATU ANAMSIFIA BOSI WAKE ALIYEMTEUA..
 
Magufuli kaanzisha baadhi ya miradi na pengine kwa nia njema lakin anatumia nguvu sana kutafta hela kwa njia yeyote hasa kuwakamua watanzania ili hela ipatikane apate kutimiza miradi hiyo

Sehem anazolazimisha hela kutoka ni

1.Hela ya wastaafu ya NSSF, kawalazimisha mpaka sasa kwamba watapata 25% badala ya 100% nyingine kwenye miradi yake

2.Kodi zisizo na kipimo
3.Matajiri kushurutishwa
4.Tozo zisizokuwa za lazima mfano kwenye ndege zinazoruka Tanzania kwa sasa wanatozwa 100,000,000 kwa mwaka
5.Gharama za kuendesha taasisi za kifedha zimepanda Mara tatu kulinganisha na awali, na ushuru wa kuendesha benki imekuwa juu sana kwa mwaka ,hasa za binafsi

Miradi itakayosimama baada ya mwaka 2025 ni

1.Elimu bila malipo ambayo inacost taifa 23 billion kwa mwezi yaan 23,000,000,000 kila Mtanzania hapo kwa mwezi anachangia 460 Tsh maana watu 50,000,000 ukigawa kwa hizo bilion ,

2.SGR inaweza ikaishia katikati
3.Kupakia Dodoma kunaweza kufeli

Nadhani kuna miradi mingine unaijua itafeli,

Britannica
Ni mradi gani uliona umekuwa endelevu? Kwa mfano wapi kilimo kwanza? Wapi katiba mpya? Serikali zetu za kiafrika hazina dira ya taifa. Kila rais anaingia na mradi wake. Kwa hiyo hujaeleza chochote kipya.
 
Pesa 8takuwa imelipwa na wenye chao watakuwa wametulia tuli
 
Ni mradi gani uliona umekuwa endelevu? Kwa mfano wapi kilimo kwanza? Wapi katiba mpya? Serikali zetu za kiafrika hazina dira ya taifa. Kila rais anaingia na mradi wake. Kwa hiyo hujaeleza chochote kipya.
Kabisa
 
SASA HIVI KILA KIONGOZI ANAYETOA HOTUBA MWISHONI ANAAMBIWA AMSIFIE MAGUFULI..HUU NI UCHIZI...MKUU WA WILAYA YA KOROGWE JANA KAMSHUKURU MAGUFULI KWA MSAADA ULIOTOLEWA NA NORWEGIAN CHURCH AID, WLAC NA SAKINA LYOKA...AMESHINDWA KUWASHUKURU HAWA WATATU ANAMSIFIA BOSI WAKE ALIYEMTEUA..
Duh hii ni kweli??
 
Hata aamue kuwa king'ang'anizi wa kubakia madarakani mpaka Mungu amchukue akiwa madarakani, baadhi ya miradi hataikamilisha, labda abadilike.

Miradi anayoitaka ikamilike inategemea upatikanaji wa fedha. Uwekezaji unazidi kupungua, biashara zinafungwa, biashara na baadhi ya miradi ya uwekezaji inaondolewa Tanzania na kupelekwa mataifa jirani, uwezo wetu wa kukopa unazidi kukaribia ukomo, misaada inazidi kupungua, shilingi inazidi kuporomoka; je, miradi hiyo ataitekeleza kwa kutumia fedha gani?

Nafasi nzuri kwake iliyosalia, ni kutogombea kipindi cha pili, ili asiwe shuhuda namba 1 wa kushindwa kwa awamu yake.
Ndiyo ukweli huo mkuu
 
Elimu Bure ni biashara kichwa kabisa.
Yani Mzazi anauza Tani kumi za Korosho anataka serikali inunue kwa bei kubwa ,wakati huo huo mtoto wake anapewa Elimu bure!!
Haiingii akilini kusema kuwa eti wakulina ni maskini.

Mtu ana kuku wa kienyeji 20 na Anafuga Mbuzi ,ng'ombe na mizinga ya nyuki halafu eti mtoto wake mwenyewe aliyemzaa anapewa Elimu Bure.
Wakati huo huo akishikwa na ugonjwa wa kupoteza maisha yake anaambiwa alipie maribabu gharama kubwa kabisa na kama hana anakufa kama Panya kweny mtego. Halafu wanasiasa wanatudanganya kuwa wanania njema na Taifa letu na wanadamu walioumbwa kwa mfano wa Mungu.
Wanasiasa ni wale wale hawanatofauti na makaburu pale panapohusu maslahi yao na madaraka.

Elimu Bure imelenga kura ili wapate kula.
Ada iliyokuwa inalipwa ilikua ni ya kawaida sana wananchi wakiambiwa ukweli na wakihamasishwa na wakaona matokeo ya ada zao watalipa bila shaka.
Msamaha wa ada uwe kwa watoto yatima tu.
Hizi Sera ni za wanasiasa kutafuta kura.
Sera za CCM kila Mwaka zina jambo linaloligharimu Taifa. Nakumbuka walipokuja na Sera za Mahakama ya kadhi. Ni Sera za wanasiasa zenye lengo la kupata kura tu bila kuangalia mambo kwa kina.

Sio tu miradi mingi itakufa Bali hata uchumi wa nchi utaporomoka na vijana wengi watakua hawana ajira. Na akitokea Rais mpenda Demokrasia atapata tabu sana sana mana makundi yote yaliyozibwa midomo sasa yatafungua midomo. Wafanyabiashra watalalamika kwa wazi,wafanya kazi, wanafunzi wanaonyimwa mikopo sasa na kukaa kimya watasema, wakulima wasio na masoko ndani na nje watapaza sauti. Makampuni yasiyo na faida yatapingwa na wachumi.

SGR itaendeshwa kwa faida hivyo itakua na bei kubwa kwa wanyonge kuitumia.

Kifupi nchi yetu inatakiwa kuwa na Sera na dira ya taifa na sio mawazo wa mtu mmoja kama kusimamia familia
Mkuu umesema yote
 
Mimi ninavyomuelewa nikuwa anajaribu kuonyesha wapi penye weakness. Ili kama mhusika ni msikivu afanyie kazi kwa ufanisi .

Lakini pia mtu kuwa mfuasi si kukifungia kichwa nyumbani kwa kila hoja. Bado ninavyomjua huyo ni mfuasi wa mtawala na si vinginevyo.
Ndo lengo
 
nani aruhusu marehemu wa kisiasa aende 2025 2020 atafute vifaru sisi tutatafuta marocketi atang,oka tu iwe kwwa maji au kwa damu no salender
 
Ni kweli mkuu na ndiyo maana tunatakiwa tupate katiba mpya itakayoainisha majukumu ambayo yatawekwa kwenye mpango wa dira ya taifa....ili kiongozi yeyote wa chama chochote aanzie pale mwenzie alipoishia

Mkapa alituamshiaga na mambo ya makaa ya mawe huko kwenye mgodi wa Kiwira Coal Mine kuwa tungetumia makaa ya mawe kuzalisha umeme....alipomaliza muda wake mgodi ukafa na deal ya makaa ya mawe ikafia hapo

Akaja kikwete na gas mtwara mara watu wataunganishiwa pipe line hadi majumbani kupunguza matumizi ya mkaa ili kunusuru misitu....alipomaliza muda wake, hakuna tena story ya gas...

Magu nae na Stigler Gorge, lengo kuzalisha umeme na kushusha bei...natamani angefanikiwa lkn cyo utamaduni watu....

Kungekuwa na kipengele kwenye katiba kinacholazimishisha kila rais aendeleze mradi alikoukutia basi nchi yetu ingepiga hatua sana.
 
Back
Top Bottom