Rais Magufuli akitoka madarakani miradi hii itakufa, na sababu ni kuzianzisha bila kuwa na mazingira ya mwendelezo

Hatimae baada ya kufeli kwa hii miradi ndipo hapo kutaibuka bora Magu alijaribu, wakati huo mwenzie atakuwa katika hali mbaya itakayombebesha zigo la lawama kwa wa tz, na kuonekana mzigo.
Kusikia Kwa Kenge Hadi Atoke Damu Puani Na Masikioni
 
Natabiri kuwa hatatoka hadi miradi aliyoianzisha na mingine itakayoanza kipindi cha utawala wake ikamilike 100% !!!!#
Hata aamue kuwa king'ang'anizi wa kubakia madarakani mpaka Mungu amchukue akiwa madarakani, baadhi ya miradi hataikamilisha, labda abadilike.

Miradi anayoitaka ikamilike inategemea upatikanaji wa fedha. Uwekezaji unazidi kupungua, biashara zinafungwa, biashara na baadhi ya miradi ya uwekezaji inaondolewa Tanzania na kupelekwa mataifa jirani, uwezo wetu wa kukopa unazidi kukaribia ukomo, misaada inazidi kupungua, shilingi inazidi kuporomoka; je, miradi hiyo ataitekeleza kwa kutumia fedha gani?

Nafasi nzuri kwake iliyosalia, ni kutogombea kipindi cha pili, ili asiwe shuhuda namba 1 wa kushindwa kwa awamu yake.
 
Magufuli kaanzisha baadhi ya miradi na pengine kwa nia njema lakin anatumia nguvu sana kutafta hela kwa njia yeyote hasa kuwakamua watanzania ili hela ipatikane apate kutimiza miradi hiyo

Sehem anazolazimisha hela kutoka ni

1.Hela ya wastaafu ya NSSF, kawalazimisha mpaka sasa kwamba watapata 25% badala ya 100% nyingine kwenye miradi yake

2.Kodi zisizo na kipimo
3.Matajiri kushurutishwa
4.Tozo zisizokuwa za lazima mfano kwenye ndege zinazoruka Tanzania kwa sasa wanatozwa 100,000,000 kwa mwaka
5.Gharama za kuendesha taasisi za kifedha zimepanda Mara tatu kulinganisha na awali, na ushuru wa kuendesha benki imekuwa juu sana kwa mwaka ,hasa za binafsi

Miradi itakayosimama baada ya mwaka 2025 ni

1.Elimu bila malipo ambayo inacost taifa 23 billion kwa mwezi yaan 23,000,000,000 kila Mtanzania hapo kwa mwezi anachangia 460 Tsh maana watu 50,000,000 ukigawa kwa hizo bilion ,

2.SGR inaweza ikaishia katikati
3.Kupakia Dodoma kunaweza kufeli

Nadhani kuna miradi mingine unaijua itafeli,

Britannica
Endelea kuota mchana wewe mbugira!
 
Hakuna ukosoaji kwenye maelezo yangu..
Britanicca awali alikuwa CCM kindakindaki asiyekubali ukosoaji dhidi ya kanda ya ziwa chini ya Nundu masonic..
sasahivi kawa against !
Mimi ninavyomuelewa nikuwa anajaribu kuonyesha wapi penye weakness. Ili kama mhusika ni msikivu afanyie kazi kwa ufanisi .

Lakini pia mtu kuwa mfuasi si kukifungia kichwa nyumbani kwa kila hoja. Bado ninavyomjua huyo ni mfuasi wa mtawala na si vinginevyo.
 
Kuna ya kuchambua kwa umakini,nchi bila kuiga inahtaji mkakayi kuwa na maendeeo.
Lakini mikakayi hiyo lazima iende sambamba na uwezo navyanzo vizuri vya mapato.Mpka leo tunaka sana nje na pia hatulipi madeni ya ndani juzi tumejinsibu kununua korosho,limebaki kuwa lazima tathmini ya waliuza ndo wakuima ,haya ya nn?
Kwa reli inahitajika sana kuongeza uwezi wa kubeba mzigo na kupunguza mzigo barbara amabazi zieelemewa na mizigo ya malori,swali tunajenga rwli ya train za abiria au mizigo?na kama ni abira ushindani utakuwa mkubwa na kufanya reli hiyo isiie mapema.
Mifano nikamandege ya dreamerline mpaka sasasijui kibiashara na kiuchumi inalipa kulinganisha na gharama ya ununuzi na muda wakulipa fedha ya manunuzi.
Sote kama taifa tunahitaji maendeleo akini yaende sambmb na uezo na mikakayi mizuri na shirikishi,tunajenga nyimba kugombea fito tufanye hivyo kwannn?
Kuna tatizo lipo linahitaji mjadala wa kitafa na si propaganda rahisi ili tujenge nchi kwa pamoja
Wewe ndio utafeli
 
Elimu Bure ni biashara kichwa kabisa.
Yani Mzazi anauza Tani kumi za Korosho anataka serikali inunue kwa bei kubwa ,wakati huo huo mtoto wake anapewa Elimu bure!!
Haiingii akilini kusema kuwa eti wakulina ni maskini.

Mtu ana kuku wa kienyeji 20 na Anafuga Mbuzi ,ng'ombe na mizinga ya nyuki halafu eti mtoto wake mwenyewe aliyemzaa anapewa Elimu Bure.
Wakati huo huo akishikwa na ugonjwa wa kupoteza maisha yake anaambiwa alipie maribabu gharama kubwa kabisa na kama hana anakufa kama Panya kweny mtego. Halafu wanasiasa wanatudanganya kuwa wanania njema na Taifa letu na wanadamu walioumbwa kwa mfano wa Mungu.
Wanasiasa ni wale wale hawanatofauti na makaburu pale panapohusu maslahi yao na madaraka.

Elimu Bure imelenga kura ili wapate kula.
Ada iliyokuwa inalipwa ilikua ni ya kawaida sana wananchi wakiambiwa ukweli na wakihamasishwa na wakaona matokeo ya ada zao watalipa bila shaka.
Msamaha wa ada uwe kwa watoto yatima tu.
Hizi Sera ni za wanasiasa kutafuta kura.
Sera za CCM kila Mwaka zina jambo linaloligharimu Taifa. Nakumbuka walipokuja na Sera za Mahakama ya kadhi. Ni Sera za wanasiasa zenye lengo la kupata kura tu bila kuangalia mambo kwa kina.

Sio tu miradi mingi itakufa Bali hata uchumi wa nchi utaporomoka na vijana wengi watakua hawana ajira. Na akitokea Rais mpenda Demokrasia atapata tabu sana sana mana makundi yote yaliyozibwa midomo sasa yatafungua midomo. Wafanyabiashra watalalamika kwa wazi,wafanya kazi, wanafunzi wanaonyimwa mikopo sasa na kukaa kimya watasema, wakulima wasio na masoko ndani na nje watapaza sauti. Makampuni yasiyo na faida yatapingwa na wachumi.

SGR itaendeshwa kwa faida hivyo itakua na bei kubwa kwa wanyonge kuitumia.

Kifupi nchi yetu inatakiwa kuwa na Sera na dira ya taifa na sio mawazo wa mtu mmoja kama kusimamia familia
 
Magufuli kaanzisha baadhi ya miradi na pengine kwa nia njema lakin anatumia nguvu sana kutafta hela kwa njia yeyote hasa kuwakamua watanzania ili hela ipatikane apate kutimiza miradi hiyo

Sehem anazolazimisha hela kutoka ni

1.Hela ya wastaafu ya NSSF, kawalazimisha mpaka sasa kwamba watapata 25% badala ya 100% nyingine kwenye miradi yake

2.Kodi zisizo na kipimo
3.Matajiri kushurutishwa
4.Tozo zisizokuwa za lazima mfano kwenye ndege zinazoruka Tanzania kwa sasa wanatozwa 100,000,000 kwa mwaka
5.Gharama za kuendesha taasisi za kifedha zimepanda Mara tatu kulinganisha na awali, na ushuru wa kuendesha benki imekuwa juu sana kwa mwaka ,hasa za binafsi

Miradi itakayosimama baada ya mwaka 2025 ni

1.Elimu bila malipo ambayo inacost taifa 23 billion kwa mwezi yaan 23,000,000,000 kila Mtanzania hapo kwa mwezi anachangia 460 Tsh maana watu 50,000,000 ukigawa kwa hizo bilion ,

2.SGR inaweza ikaishia katikati
3.Kupakia Dodoma kunaweza kufeli

Nadhani kuna miradi mingine unaijua itafeli,

Britannica
Mheshimiwa Rais anahamia lini Dodoma?
 
SGR ni ndoto kukamilika hata kama awapeleke JWTZ wakajenge kwa meno!
 
Kwa akili umejiaminisha Rais ajaye atakuwa dhaifu na kushindwa kusimamia na kuendeleza miradi itakayoachwa na Magufuli.
Ni nani amekuja upumbavu huu?
 
Watu wanaunga mkono mambo ya kusadikika,acha tukupuuze tu.
Miradi kufa hicho ni kitu kidogo. Kuna mambo makubwa yamekufa hata kabla hajatoka:
1. Utu na utamaduni wa mtanzania wa kupendana bila kujali itikadi utakufa kabisa
2. Yule ajaye ana kazi ya kurudisha utanzania halisi wenye ile kauli mbiu ya Nyerere ' Kila mtu anastahili heshima na kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake"
3. Mshikamano wa kitaifa utakuwa haupo tena TZ
4. Chuki itakuwa imetawala miongoni mwa watanzania
5. Visasi miongoni mwa jamii vitakuwa ndio chakula cha kila siku.
6. Upendo miongoni mwa watanzania utakuwa historia
7. Ipo haja ya kuanza mapema kukemea mbegu mbaya inayopandwa kwenye jamii yetu.
8. Viongozi wa dini wakemee hii hali badala ya kuwa na mahubiri ya kinafiki ya kusiffia wakati ukweli wanauona.
 
Hakuna ukosoaji kwenye maelezo yangu..
Britanicca awali alikuwa CCM kindakindaki asiyekubali ukosoaji dhidi ya kanda ya ziwa chini ya Nundu masonic..
sasahivi kawa against !
Mimi ni CCM kindaki ndaki siwezi kuhama chama na siamini katika siasa za kuhama hama vyama, ila nahakikisha agenda nazisimamia ipasavyo bila kupendelea
 
Natabiri kuwa hatatoka hadi miradi aliyoianzisha na mingine itakayoanza kipindi cha utawala wake ikamilike 100% !!!!#
Kwa kukamilika kwa asilimia mia hilo ni vigumu kwa mda ambao atakhwa madarakani labda uniambie akae hadi 2030 kwa speed hii hii kidogo nitakubaliana na wewe lakini kwa miaka yake iliyobaki na miradi alionzisha ni vigumu kufikia hata nusu maana ni mikubwa mno na hela ishakata
 
Miradi kufa hicho ni kitu kidogo. Kuna mambo makubwa yamekufa hata kabla hajatoka:
1. Utu na utamaduni wa mtanzania wa kupendana bila kujali itikadi utakufa kabisa
2. Yule ajaye ana kazi ya kurudisha utanzania halisi wenye ile kauli mbiu ya Nyerere ' Kila mtu anastahili heshima na kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake"
3. Mshikamano wa kitaifa utakuwa haupo tena TZ
4. Chuki itakuwa imetawala miongoni mwa watanzania
5. Visasi miongoni mwa jamii vitakuwa ndio chakula cha kila siku.
6. Upendo miongoni mwa watanzania utakuwa historia
7. Ipo haja ya kuanza mapema kukemea mbegu mbaya inayopandwa kwenye jamii yetu.
8. Viongozi wa dini wakemee hii hali badala ya kuwa na mahubiri ya kinafiki ya kusiffia wakati ukweli wanauona.
Mtoto wa mama wewe.
 
Back
Top Bottom