Elly Corner
Member
- Sep 10, 2014
- 36
- 35
Waislamu mnapenda kulalama jamani
makamu wa rais
Wazir mkuu wote waislamu wote wameshindwa kumshauri magufuli
Afadhali uongee wewe mkuu...maana mie nashindwa kuelewa hasa tatizo la hawa jamaa wanaotaka kuleta mihemko ya kidini ni nini hasa :what: