Samahani, mimi huwa naogopa sana kulumbana na Malaika kama wewe.Umesahau sifa yetu kuu Watanzania ya kujikombakomba tufikiriwe?
Vicheko vya kinafiki....
Hata mimi nimeshangaa sana mkuu,Rais asiye na ofisi!!!!
Hahahahaa only in Tanzania.
Sifa nyingine bwana?Hata Magufuli atashangaa kusikia kuna mtu anamuita gentleman!!!!
Umesahau sifa yetu kuu Watanzania ya kujikombakomba tufikiriwe?
When was this wakuu?
Si aliagwa na kuondoka na Chopa uyu karudi tena kufanya nini?
Huyo Ombeni Sefue nae angetoka tu, Magufuli aanze upya na sio kutumia huyo jamaa hapo ikulu wakati alikua na Kikwete na wamezingua kias chake kiutendaji
Samahani, mimi huwa naogopa sana kulumbana na Malaika kama wewe.
Na ndio mfumo wa maisha yangu ya kila siku, si hapa tu JF.
Labda tu nisijue jinsia ya huyo ninaepelekana nae.
Sasa Mlimbwende Nifah kama mimi najikomba kwa Rais Magufuli basi wote itakuwa tunajikomba, sababu hata wewe unajikomba sana kwa Mheshimiwa Lowasa.
Kama kujadiliana nakukaribisha, karibu sana tujadili, tucheze au kingine chochote ruksa.
Ila kama unakuja kimalumbano nakuahidi. Sitojibizana na wewe.
Ahsante, nakupenda na Ubarikiwe sana, Amin
Umbeya kuanzia asubuhi.
Vicheko vya kinafiki....
...indeed...unakabidhi ofisi na vicheko kama rais mstaafu wa JMT....wakati kule zenj hawamjui rais wao hadi sasa....alafu unafanya mambo kama kila kitu kiko shwari....Unashangaa hata issue ya zenj haizungumzwi kwenye makabidhiano....
..Alafu this guy keeps on coming back to ikulu...as if kuna kitu amesahau....kwa mda tulikua tunasikia mara ameondoka ikulu na helkopta....mara ameagana na wafanyakazi wa ikulu.....na blah blah nyingine kibao.......kumbe alikua hajakabidhi ofisi ikulu!! ..sasa JPM alikua anafanyaje kazi!!..this is amazing....
..Magufuli ana kazi kweli kweli....
Unamwonea Sefue bure tu. Yeye ancheza ngoma ya bosi wake. Ukumbuke ni mwajiriwa an anatakiwa kutunza familia yake. Hawezi kwenda kinyume na bosi wake.Huyo Ombeni Sefue nae angetoka tu, Magufuli aanze upya na sio kutumia huyo jamaa hapo ikulu wakati alikua na Kikwete na wamezingua kias chake kiutendaji
Sasa aliagwaje majuzi kwa mbwembwe nyingi akiondoka rasmi Ikulu bila kukabidhi ofisi?. Na yote alotolea tamko Magufuli tangu hapo yalikuw akinyemela tu au vipi? Sijui utaratibu huu wafanana na upi au wapi kama siyo kituko tu!
Hii mbona inashangaza kwani makabidhiano yalikuwa bado?