Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,179
- 29,658
Tatizo la kutokujua rais ni nani na yupo kwa ajiri ya nani, kwanini watanzania wengine hatujui nchi inaendeshwaje kwani akili zetu zimeganda kwenye Chadema! Mleta mada ameileta kama alivyoona kwenye TV umati wa watu na kuzishindanisha CCM na Chadema kwenye malumbano ya hoja! Utoto.Leo Rais Magufuli yupo wilaya ya Arumeru kuzindua mradi mkubwa wa maji.
Shamra shamra na mapokezi ya Rais Magufuli ni ya mfano kwenye wilaya hii, ukiwaangalia wananchi wanavyoshangilia na kumfurahia rais, huwezi kuamini kabisa kama Arusha/Arumeru ni ngome ya Chadema.!
Ikumbukwe kuwa kabla ya ujio wa rais mkoani Arusha ,Bavicha walikuwa wanaendesha propaganda ili Magufuli asipate mapokezi makubwa kufuatia mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kufungwa jela baada ya kukiuka mashariti ya dhamana na kusafiri na Joyce Mkuya kwenda Ulaya..
Je mapokezi makubwa ya rais Magufuli Arusha ina maana wananchi wamepuuza wito wa Bavicha wa kumlilia Mbowe ambae yupo Segerea kwa sasa.??
JF of GT need to be overhauled or scrapped.