Rais Magufuli aitikisa ngome ya CHADEMA Arumeru

Elitwege

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
5,294
Reaction score
10,977
Leo Rais Magufuli yupo wilaya ya Arumeru kuzindua mradi mkubwa wa maji.
Shamra shamra na mapokezi ya Rais Magufuli ni ya mfano kwenye wilaya hii, ukiwaangalia wananchi wanavyoshangilia na kumfurahia rais, huwezi kuamini kabisa kama Arusha/Arumeru ni ngome ya Chadema.!

Ikumbukwe kuwa kabla ya ujio wa rais mkoani Arusha ,Bavicha walikuwa wanaendesha propaganda ili Magufuli asipate mapokezi makubwa kufuatia mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kufungwa jela baada ya kukiuka mashariti ya dhamana na kusafiri na Joyce Mkuya kwenda Ulaya..

Je mapokezi makubwa ya rais Magufuli Arusha ina maana wananchi wamepuuza wito wa Bavicha wa kumlilia Mbowe ambae yupo Segerea kwa sasa.??
 
Usitake kudanganya watu. Naona mmeleta hadi mbunge wa Simanjiro ambayo ipo zaidi km 300 toka Arusha. Jiwe halikubaliki ukanda huu. Nasari Atosha 2020
 
Leo Rais Magufuli yupo wilaya ya Arumeru kuzindua mradi mkubwa wa maji.
Shamra shamra na mapokezi ya Rais Magufuli ni ya mfano kwenye wilaya hii, ukiwaangalia wananchi wanavyoshangilia na kumfurahia rais, huwezi kuamini kabisa kama Arusha/Arumeru ni ngome ya Chadema.!

Ikumbukwe kuwa kabla ya ujio wa rais mkoani Arusha ,Bavicha walikuwa wanaendesha propaganda ili Magufuli asipate mapokezi makubwa kufuatia mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kufungwa jela baada ya kukiuka mashariti ya dhamana na kusafiri na Joyce Mkuya kwenda Ulaya..

Je mapokezi makubwa ya rais Magufuli Arusha ina maana wananchi wamepuuza wito wa Bavicha wa kumlilia Mbowe ambae yupo Segerea kwa sasa.??
Achana na Mbowee bana..ni taplo la kimataifa hilo.kwani unadhan wananchi hawaoni..achana na watanzania aisee wana akili kuliko wanavyofahamika..hahaha..kwanza wengine ukiwauliza Mbowe ni nani wanakujibu ni yule jamaa aliyekula hela ya Luwasa..yaani alinunuliwa..
 
JPM yupo vizuri ila ananikwaza kitu kimoja tu, Kila mradi lazma azindue yeye miradi mingine midogomidogo ingefaa sana kama akamwachia Waziri husika.....
 
Usitake kudanganya watu. Naoma mmeleta hadi mbunge wa Simanjiro ambago ipo zaidi km 300 toka Arusha. Jiwe halikubaliki ukanda huu. Nasari Atosha 2020
Hahahah Nassar atosha kwenye nini..kikombe au...?? Unawez kutuambia amefanya mambo gani kule kama sio serikali ya ccm ndio imefanya maendeleo hayo..yapi kafanya Nassar
 
Magufuli angeacha roho mbaya na kiburi angekuwa rais mzuri sana.
Leo anahutubia akisemema maendeleo hayana chama na kuulizia wabunge wa upinzani wako wapi?hapohapo anawapiga vijembe na kuwasifu aliowanunua.
Hii sio roho ya kitanzania.
Tuna makabila 122 na tumeishi zaidi ya karne moja hatujaona kabila kati ya hayo limetoa mtu mbaguzi na mwenye roho mbaya hivi.
Ni wakati wa kujiuliza nani katuingizia hii mbegu?
Na imetoka wapi?
Na tufanyeje hii iwe ya mwisho ili tusije poteza identity yetu?
 
Na bado walahi
Fanya kazi rais wetu wa JAMHURI YA MUUNGANO TANZANIA JPM
 
Leo Rais Magufuli yupo wilaya ya Arumeru kuzindua mradi mkubwa wa maji.
Shamra shamra na mapokezi ya Rais Magufuli ni ya mfano kwenye wilaya hii, ukiwaangalia wananchi wanavyoshangilia na kumfurahia rais, huwezi kuamini kabisa kama Arusha/Arumeru ni ngome ya Chadema.!

Ikumbukwe kuwa kabla ya ujio wa rais mkoani Arusha ,Bavicha walikuwa wanaendesha propaganda ili Magufuli asipate mapokezi makubwa kufuatia mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kufungwa jela baada ya kukiuka mashariti ya dhamana na kusafiri na Joyce Mkuya kwenda Ulaya..

Je mapokezi makubwa ya rais Magufuli Arusha ina maana wananchi wamepuuza wito wa Bavicha wa kumlilia Mbowe ambae yupo Segerea kwa sasa.??
Ungeweka na picha kabisa kwa faida ya wengine sisi tulie nae kila siku na kila mahali hatuna shida
 
Back
Top Bottom