Rais Magufuli ahimiza viongozi kuandika vitabu

Kuna mwanahabari mmoja mkongwe alipata kutukushangaa jinsi tulivyozuzuliwa na mwanasiasa mmoja ambaye hajapata kuandika mawazo kwenye karatasi watu wakasoma na angalau kujua huwa anaweza nini. Hivyo ndivyo wanasiasa wetu wengi walivyo.
Eeeh, nimekuelewa vizuri sana.
Ni matatizo yetu wananchi wenyewe. Wengine tunapiga kura kwa sura ya mtu ilivyo, wengine kwa hadithi tu za kusikia yanayomhusu mgombea bila kudadisi ukweli wa hadithi hizo.

Hata kama tulikuwa tumepiga hatua kidogo kwa kutompigia mtu kura kwa sababu ya kabila lake tu, lakini katika mengine tuko chini sana.
 
Sijasoma. Anaelezea michepuko na ya Obama?
Sasa mbona unajicontradict mwenyewe?Anaelezea maisha yake hata sometimes kutoelewana na Baraka.Mimi niliuliza kama Mkapa kaandika kuhusu kutengana na Anna baadae wakarudiana tena.Na siyo Mkapa kuelezea michepuko ya Anna.
 
Back
Top Bottom