KAKWAMBIA NANI?Nchimbi anatupwa mbali na siasa za Tanzania
Anapelekwa nchi ya mbali , na anaweza pelekwa china huko .KAKWAMBIA NANI?
unapingana na chama chetu..!!Sheikh Khalifa, pitia na huku.
Kwani vipi bi faiza kigango kimejengwa nini?Sheikh Khalifa, pitia na huku.
Kwani vipi bi faiza kigango kimejengwa nini?
Hii siyo listi ya kwenda Kuhiji Makka au YerusalemuTwaona yanazidi, asilimia zile zile. Panga pangua.
Hakika ng'ombe aliyekosa mkia anazidi kusota mtaani pamoja na promo yoteMpendazoe amekubali kukatwa mkia lakini kakosa hata u DC
Atapelekwa Kinshasa akacheze ndomboro ya soloNchimbi anatupwa mbali na siasa za Tanzania