Rais Magufuli afanya uteuzi, Sophia Simba aula, awa mwenyekiti wa bodi ya Magavana

Status
Not open for further replies.
Anajua biashara?! Nchi hii ina watu wenye IQ ndogo sana! Mtu akisikia tu Doctor basi anadhani ni bingwa ktk kila kitu! Mo Dewji ana Masters ya Georgetown University au Alhaji Aliko Dangote ana elimu ya kawaida lakini uliza "Wealth" walio create! Unampa mtu kusimamia biashara za Kimataifa huku hajawahi hata kuendesha genge mtaani! Poor Tanzania!
Atajifunza huko huko kutoka kwa wazoefu
 
Matumizi ya neno kuula kwenye teuzi naomba tuache kabisa maana inaharibu kabisa dhana nzima ya utumishi wa uma na kujenga mentality ya kifisadi..
 
Eti "ameula"..

As if kuna cha maana cha maslahi kwenye kazi za serikali...

Sema ameenda kuhudumu...

"Kuula" kwenye kazi za serikalini ni hali na tabia fulani hivi ya njaa na umasikini....

"Kuula" ni kufanya biashara na kufanikiwa nothing else!
Kwanza Bodi ni posho ya kikao tuu vikao ni mara 4 kwa mwaka, hakuna lolote bora ukalime vitunguu saumu
 
Duh!

Mama Sophia Simba!

Kumbe mtu anaweza kufanya toba kwa barua hapahapa duniani na akasamehewa hapahapa duniani!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom