Rais Magufuli afanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri. Prof Kabudi awa Waziri wa Mambo ya Nje, Mahiga apelekwa Katiba na Sheria

Mahiga mtu makini sana, issue ya lissu anajua ni ndogo sana kwa serikali kuanza kujibizana. Hajaongea kabisa.

Pili kama kuna nia ya kumdhuru lisu, Mahiga hawezi kufanya kazi hiyo hata kwa pesa, ni wazee wachache sana walio fundishwa na nyerere juu ya uadilifu.

Tatu Mahiga sio mtu wa kuendeshwa, anafanya kazi kulingana na taratibu za kazi.

Huyu mlopokaji sijui atawasomea zaburi wazungu walete pesa za makinikia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Washauri wa Magu sjui wanamshauri nini. Ngashoka tikii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni kubadilishana seat, ila ngumu zaidi ni pale aliyesomea diplomasia kupewa wizara ya sheria na aliyebobea kwenye sheria kurushwa kwenye diplomasia, what went wrong na fani zao?

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya maajabu waweza yaona TZ pekee!

Mabadiliko hayo naweza yafananisha na mtu kumwambia avae suti huku kavaa chini kavaa kandambili

Hivi umewahi ona mtu ambaye profession yake ni sheria "analazimishwa" kufanya kazi za kidiplomasia??
 
Back
Top Bottom