Rais Magufuli afanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri. Prof Kabudi awa Waziri wa Mambo ya Nje, Mahiga apelekwa Katiba na Sheria

sajo

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
885
1,000
Taarifa rasmi kutoka Kurugenzi ya mawasiliano ikulu imetolewa leo tarehe 03 Machi 2019 kuwa Mheshimiwa Rais Magufuli amemteua Dk. Augustine Mahiga kuwa Waziri wa Katiba na Sheria na pia amemteua Prof. Palamagamba Kabudi kuwa waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa afrika mashariki.

Mawaziri hao wataapishwa Ikulu kesho tarehe 04 Machi 2019 saa 3:30 asubuhi.

41FEC203-9FAB-42A6-9329-1C9BE4A65538.jpeg
 

MICHUTZ

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
273
500
Taarifa rasmi kutoka Kurugenzi ya mawasiliano ikulu imetolewa leo tarehe 03 Machi 2019 kuwa Mheshimiwa Rais Magufuli amemteua Dk. Mahiga kuwa Waziri wa Katiba na Sheria na pia amemteua Prof. Paramagamba Kabudi kuwa waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa afrika mashariki. Mawaziri hao wataapishwa Ikulu kesho tarehe 04 Machi 2019 saa 3:30 asubuhi.
Mahiga ni MTU makin kwa masuala ya kimataifa, huyo aliewekwa ni kwa Ajili ya Tundu lissu na ni kitu magu anakosea

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom