Azim Sokoine
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 1,379
- 2,533
amani iwe kwenu wakuu,nimemsikia rais Magufuli akisema pesa wanazochukua trafiki barabarani hazina shida ni za kung`arishia viatu,hii imekaaje kauli hii sio kwamba anahalalisha rushwa nawaza tu! je uelewa wa rais kuhusu rushwa ni mdogo au alipitia tu maana kwa maelezo yake rais anaamini rushwa ni ile kabda inayohusisha kiwango kikubwa cha fedha? rais wangu magufuli omba radhi na ufute kauli yako hii tata ambayo inachochea rushwa kuongezeka zaidi..kwa kauli hii ni waziwazi rais magufuli amewapa vichwa trafiki barabara kuendelea kuomba rushwa! rais wangu magu uongoz unahitaji hekma sio kila ni cha kuzungumza!
Mkuu jikite kwenye maada husikaMbona Tanzania nzima wewe peke yako ndiyo umelishupalia hilo? Hilo halitoshi kukushawishi kwamba una matatizo labda ya uelewa? Kwa maana ktk yoote yanayojadiliwa hapa khs Hotuba ya raisi hilo halijaongelewa ila wewe tu ndiyo umelisikia!Akuombe radhi wewe?!
mtu anawambia trafiki achukue rushwa we unasapot au kwa kuwa una gariMbona Tanzania nzima wewe peke yako ndiyo umelishupalia hilo? Hilo halitoshi kukushawishi kwamba una matatizo labda ya uelewa? Kwa maana ktk yoote yanayojadiliwa hapa khs Hotuba ya raisi hilo halijaongelewa ila wewe tu ndiyo umelisikia!Akuombe radhi wewe?!
Povu lote la nini..jikite kwenye hoja makini.Mbona Tanzania nzima wewe peke yako ndiyo umelishupalia hilo? Hilo halitoshi kukushawishi kwamba una matatizo labda ya uelewa? Kwa maana ktk yoote yanayojadiliwa hapa khs Hotuba ya raisi hilo halijaongelewa ila wewe tu ndiyo umelisikia!Akuombe radhi wewe?!
Umebeba bango linasomeka wewe umefuzu UDOMMbona Tanzania nzima wewe peke yako ndiyo umelishupalia hilo? Hilo halitoshi kukushawishi kwamba una matatizo labda ya uelewa? Kwa maana ktk yoote yanayojadiliwa hapa khs Hotuba ya raisi hilo halijaongelewa ila wewe tu ndiyo umelisikia!Akuombe radhi wewe?!
Duh Barbarosa unatetea mpaka rais kusherehesha rushwa? Ama kweli ukipenda, chongo utaita kengeza!Mbona Tanzania nzima wewe peke yako ndiyo umelishupalia hilo? Hilo halitoshi kukushawishi kwamba una matatizo labda ya uelewa? Kwa maana ktk yoote yanayojadiliwa hapa khs Hotuba ya raisi hilo halijaongelewa ila wewe tu ndiyo umelisikia!Akuombe radhi wewe?!
Si kweli kwamba Tanzania nzima ni huyu tu ndiye anaye shupalia hilo.Mbona Tanzania nzima wewe peke yako ndiyo umelishupalia hilo? Hilo halitoshi kukushawishi kwamba una matatizo labda ya uelewa? Kwa maana ktk yoote yanayojadiliwa hapa khs Hotuba ya raisi hilo halijaongelewa ila wewe tu ndiyo umelisikia!Akuombe radhi wewe?!
Kwani hiyo ndio main topic au ilikuwa kipande cha story tu kuelezea jambo kubwa?!!amani iwe kwenu wakuu,nimemsikia rais Magufuli akisema pesa wanazochukua trafiki barabarani hazina shida ni za kung`arishia viatu,hii imekaaje kauli hii sio kwamba anahalalisha rushwa nawaza tu! je uelewa wa rais kuhusu rushwa ni mdogo au alipitia tu maana kwa maelezo yake rais anaamini rushwa ni ile kabda inayohusisha kiwango kikubwa cha fedha? rais wangu magufuli omba radhi na ufute kauli yako hii tata ambayo inachochea rushwa kuongezeka zaidi..kwa kauli hii ni waziwazi rais magufuli amewapa vichwa trafiki barabara kuendelea kuomba rushwa! rais wangu magu uongoz unahitaji hekma sio kila ni cha kuzungumza!
Mbona Tanzania nzima wewe peke yako ndiyo umelishupalia hilo? Hilo halitoshi kukushawishi kwamba una matatizo labda ya uelewa? Kwa maana ktk yoote yanayojadiliwa hapa khs Hotuba ya raisi hilo halijaongelewa ila wewe tu ndiyo umelisikia!Akuombe radhi wewe?!
We hujawahi kutoa hiyo elfu tano? Mbona hukujipeleka polisi kwa mujibu wa sheria ya rushwa?Duh Barbarosa unatetea mpaka rais kusherehesha rushwa? Ama kweli ukipenda, chongo utaita kengeza!
Acha basi nawewe kutetea kila kitu..Mtu yeyote ana Uhuru wa kuleta taarifa/hoja yoyote jukwaani ilimradi ni ya kweli,labda umshambulie mleta mada kama aliloliwasilisha halina ukweli.Tatizo lako hupendi kusikia usilolipenda.JIKITE KWENYE MADA.Nilichokisema ni kwamba wewe una matatizo labda ya euelewa, jiulize kwa nini wewe peke yako ndiyo umelisikia hilo? Kwa nini halijajadiliwa hilo hapa JF tangu Hotuba itolewe? Kwa nini wewe ndiyo ulilete?
mkuu jadili hoja iliyoko mezaniKwani hiyo ndio main topic au ilikuwa kipande cha story tu kuelezea jambo kubwa?!! Machadema akili zenu sawa na za ng'ombe.
Mkuu tatizo ni njaa na kuchangia kwa sifa ata kama ni uozo ni basi tu ili kufurahisha mabwana zao.Acha basi nawewe kutetea kila kitu..Mtu yeyote ana Uhuru wa kuleta taarifa/hoja yoyote jukwaani ilimradi ni ya kweli,labda umshambulie mleta mada kama aliloliwasilisha halina ukweli.Tatizo lako hupendi kusikia usilolipenda.JIKITE KWENYE MADA.
Sitaki kuamini kama kweli Rais ameongea hayo! Na kama kweli amesema basi amepotoka; tena kupita kiasi kwa maana anachukulia kana kwamba wote wanaopita barabarani ni wenye ma VX na hivyo, ni kama inaonekana ndogo! Mtu mwenye VX yake hawezi kuombwa 5,000 hata siku moja! Atakayeombwa 5,000 ni wale wenzangu na mimi; hususani Bajaj na Bodaboda!
Kwa mtu wa Bajaj na Bodaboda; Sh.5000 kwake ni nyingi sana; sawa na kama ambavyo wenye nazo wanavyoweza kuombwa mamilioni!
Narudia, siamini ikiwa kweli ametamka hayo na kama ametamka basi amepotoka!