Masanja
JF-Expert Member
- Aug 1, 2007
- 4,820
- 8,886
amani iwe kwenu wakuu,nimemsikia rais Magufuli akisema pesa wanazochukua trafiki barabarani hazina shida ni za kung`arishia viatu,hii imekaaje kauli hii sio kwamba anahalalisha rushwa nawaza tu! je uelewa wa rais kuhusu rushwa ni mdogo au alipitia tu maana kwa maelezo yake rais anaamini rushwa ni ile kabda inayohusisha kiwango kikubwa cha fedha? rais wangu magufuli omba radhi na ufute kauli yako hii tata ambayo inachochea rushwa kuongezeka zaidi..kwa kauli hii ni waziwazi rais magufuli amewapa vichwa trafiki barabara kuendelea kuomba rushwa! rais wangu magu uongoz unahitaji hekma sio kila ni cha kuzungumza!
Mkuu kama kweli ulimsikiliza Magufuli hakusema hivyo. Jamani hata mtu kama humpendi usimlishe maneno. Ni kitu kibaya sana.