Rais kutoka Zanzibar haiji kutokea tena

Rais kutoka Zanzibar haiji kutokea tena

Watanganyika hatutakuwa tayari kuchaguwa rais kutoka zenji kutoka chama chochote.kumchaguwa rais kutoka zenji ni sawa na kutawaliwa na wazenji ambao tayari wana rais wao tayari.Endapo rais wa jmt atakuwa mzenji inamaana wazenji watakuwa na marais 2 wa jamhuri na wazenji wakati huo tanganyika hawatakuwa na rais.
 
Wana jf
kwanza habari za jumapili?

Leo nimependezwa kuandika kuhusiana na hili la rais kutoka pande za muuangano yaani Zanzibar au Tanganyika. Kwa kadri siasa ilivyo hivi sasa hapa nchini rais kutokea Zanzibar haiji kutokea na Mwinyi pekee atabaki rais wa kihistoria kwa wazanzibari.sababu

1. Mpaka sasa wapiga kura waliowengi ni watanganyika ambao ni milioni 43

2. Ushindani wa Ccm na Chadema ndio utasababisha kila chama kuchukua tahadhari dhidi ya mgombea wa kusimamisha

3. CCM zama za kuweka mgombea yeyote na akashinda zimekwisha

4. Wanasiasa Wazanzibar hawajulikani katika siasa za Tanganyika.

5. Katiba hailazimishi kwamba mgombea kuna wakati atatoka zanzibar

Nb najua ni habarh mbaya kwenu lakini ni ukweli mchungu na muwe tayari kuufia
Kwa wewe kijana Rais wa nchi unamchagua wewe au wasiojulikana? Jibu kwanza hili.
 
Back
Top Bottom