Cc jingalaoRais Magufuli amekuwa akihutubia mara kadhaa na kuacha maswali mengi kwa hadhira anayoihutubia.
Awali kulikuwa na kauli "wakati nakulipa mshahara". Alikuwa akiitumia kufanya watumishi wafuate mawazo yake tu. Mfn. Unamtangaza mpinzani kashinda uchaguzi wakati nakulipa mshahara.
Pili, nimewapa hela wakati hawakustahili. Hii imetokea huko Ukerewe akifafanua kuwa Ukerewe hawakustahili mradi wa maji ila ni hisani zake.
Tatu, akiwa Musoma anasema anawajengea barabara kwa heshima ya Wasira, na sio sababu Bulaya amewasilisha hoja bungeni.
Katika utata kama huu utaona anajisifu kuwa yeye ndo anaamua fedha iende wapi na sio bajeti ya bunge. Pili anazifanya fedha za Tanzania kuwa kama mali yake kuwa atoe kama fadhila.
Naomba waliokaribu yake wamwambie kazi yake ni kuleta maendeleo na sio kujifanya anatoa msaada. Na akizingua tutamtoa tutaweka mwingine.
Pia asirugawe maana watu wa Ukerewe wanastahili kama wanavyostahili watu wa Chato au Mwanza maana wote ni raia wa Tanzania na wanalipa kodi kwa mujibu wa sheria kwahiyo maendeleo yoyote ni haki yao kupata.
Wito akiendelea na kauli hizi TRA watapata shida sana kukusanya kodi maeneo ambayo "hayastahili"
Mimi sioni cha ajabu maana tayari katuhabarisha juu ya ugonjwa wake.Rais Magufuli amekuwa akihutubia mara kadhaa na kuacha maswali mengi kwa hadhira anayoihutubia.
Awali kulikuwa na kauli "wakati nakulipa mshahara". Alikuwa akiitumia kufanya watumishi wafuate mawazo yake tu. Mfn. Unamtangaza mpinzani kashinda uchaguzi wakati nakulipa mshahara.
Pili, nimewapa hela wakati hawakustahili. Hii imetokea huko Ukerewe akifafanua kuwa Ukerewe hawakustahili mradi wa maji ila ni hisani zake.
Tatu, akiwa Musoma anasema anawajengea barabara kwa heshima ya Wasira, na sio sababu Bulaya amewasilisha hoja bungeni.
Katika utata kama huu utaona anajisifu kuwa yeye ndo anaamua fedha iende wapi na sio bajeti ya bunge. Pili anazifanya fedha za Tanzania kuwa kama mali yake kuwa atoe kama fadhila.
Naomba waliokaribu yake wamwambie kazi yake ni kuleta maendeleo na sio kujifanya anatoa msaada. Na akizingua tutamtoa tutaweka mwingine.
Pia asirugawe maana watu wa Ukerewe wanastahili kama wanavyostahili watu wa Chato au Mwanza maana wote ni raia wa Tanzania na wanalipa kodi kwa mujibu wa sheria kwahiyo maendeleo yoyote ni haki yao kupata.
Wito akiendelea na kauli hizi TRA watapata shida sana kukusanya kodi maeneo ambayo "hayastahili"
Hakuna kama magufuli tanzania watu walirembwa sana magu piga kazi
Lazima mpinzani uweweweseke.
Mada umeanzisha wewe.. sisi wachangiaji tu.. Povu la nini?Ukitambua una ubongo usioweza kupambanua mambo ya msingi ni vyema ukanyamaza
Safi sana, kwa akili kama lazima aseme hivyo, piga kazi BabaHakuna kama magufuli tanzania watu walirembwa sana magu piga kazi
Sawa jerry muroHakuna kama magufuli tanzania watu walirembwa sana magu piga kazi
vichaa tu ndio hawaweweseki kwenye utawala huuLazima mpinzani uweweweseke.