technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,563
- 57,888
Rais magufuli baada ya kutoka kwa tafiti za twaweza ilionyesha anakubalika kwa asilimia zaidi ya 96%
Sasa maswali ya kujiuliza kwa nini rais wetu ameingia tena kwenye recodi ya dunia kufana na tafiti za marais hawa?
1: Adolf Hitler : Dicteta wa ujerumani alikubalika kwa zaidi ya asilimia 95% kwenye utafiti akiwa madarakani.
2 : Fidel Castro : Huyu ni Dicteta wa Cuba aliyekuwa na Sera za ujamaa katika utafiti nchini Cuba alikubalika kwa asilimia 97% .
3: Saddam Hussein : Dicteta wa Iraq alikubalika kwa zaidi ya asilimia 100% kwenye utafiti.
Paulo Kagame : Dicteta wa Rwanda huyu uchaguzi ulioisha alishinda kwa asilimia 94%
Robert Mugabe: Dicteta wa Zimbabwe yupo madarakani toka mwaka 1980 alishawai kutangazwa kuwa anakubalika kwa zaidi ya asilimia 90% kwenye utafiti.
Lakini watu wote hawa walio wengi mwisho wao haukuwa mzuri ,wengine bado wapo lakini mwisho wao hauonekani kuwa mzuri.
Sasa kwanini rais wetu anaingia kwenye record ya kukubalika kama hawa madicteta ? Ishara yake ninini?
Hakuna pahali duniani kwenye nchi ya kidemocrasia ambapo rais anaweza kukubalika kwa zaidi ya 90% hakuna na haijawai tokea .
Sasa kukubalika huku kwa rais wetu hivi maana yake nini?