Rais kufanana na hawa maana yake nini?

Rais kufanana na hawa maana yake nini?

Zisikupe presha zote hizo ni feki. Mbona kikwete alipewa tuzo nyingi hadi nyingine za kivasco Dagama kwani iliwanufaisha nini watanzania.

kwanza tuzo gani zile anashindanishwa na mameneja wa bank, bwana shamba, the people of Rwanda, Rais mmoja wa kike, na wajasiria mali wadogogo nayo hyo ni tuzo kweli.
Sizitaki mbichi hizi.
 
Bank account balance. 6.9M sasa ngoja niitafute kilo iliyobakia, I'll be back in no moment
Teh teh.....wekeza tu mkuu hizo.......zinakoenda hizo pesa hazisaidii chochote.
 
Heri mwenye vidonda vya tumbo kuliko na marehemu...
 
Makapi yanaliaaa lkn mwaka huu vidonda vya tumbo vitawaua turn hakuna naman
 
Kidole kinauma sana nalitamani nichangie hii maada ila kiukweli dole gumba linauma sana, tena hii maada ilikuwa nzuri sana sjui siku kikipona naweza kukuta bado ipo hapa jukwaani?

Kidole gumba umeniponza unanikosesha raha muda mwingine.
 
Kidole kinauma sana nalitamani nichangie hii maada ila kiukweli dole gumba linauma sana, tena hii maada ilikuwa nzuri sana sjui siku kikipona naweza kukuta bado ipo hapa jukwaani?

Kidole gumba umeniponza unanikosesha raha muda mwingine.
Haaaah haaaah
 
Takwimu zinaonesha kuwa mfuasi mmoja kati ya wawili wa CHADEMA ana vidonda vya tumbo vilivyotokana na MAGUFULI kushinda Urais. Wanaumia sana. Yaani huku Twaweza, kule Forbes.
jibu swali hapo juu.


swissme
 
Rais magufuli baada ya kutoka kwa tafiti za twaweza ilionyesha anakubalika kwa asilimia zaidi ya 96%

Sasa maswali ya kujiuliza kwa nini rais wetu ameingia tena kwenye recodi ya dunia kufana na tafiti za marais hawa?

1: Adolf Hitler : Dicteta wa ujerumani alikubalika kwa zaidi ya asilimia 95% kwenye utafiti akiwa madarakani.

View attachment 425540

2 : Fidel Castro : Huyu ni Dicteta wa Cuba aliyekuwa na Sera za ujamaa katika utafiti nchini Cuba alikubalika kwa asilimia 97% .
View attachment 425541

3: Saddam Hussein : Dicteta wa Iraq alikubalika kwa zaidi ya asilimia 100% kwenye utafiti.

View attachment 425543

Paulo Kagame : Dicteta wa Rwanda huyu uchaguzi ulioisha alishinda kwa asilimia 94%

View attachment 425544

Robert Mugabe: Dicteta wa Zimbabwe yupo madarakani toka mwaka 1980 alishawai kutangazwa kuwa anakubalika kwa zaidi ya asilimia 90% kwenye utafiti.

View attachment 425546

Lakini watu wote hawa walio wengi mwisho wao haukuwa mzuri ,wengine bado wapo lakini mwisho wao hauonekani kuwa mzuri.

Sasa kwanini rais wetu anaingia kwenye record ya kukubalika kama hawa madicteta ? Ishara yake ninini?

Hakuna pahali duniani kwenye nchi ya kidemocrasia ambapo rais anaweza kukubalika kwa zaidi ya 90% hakuna na haijawai tokea .

Sasa kukubalika huku kwa rais wetu hivi maana yake nini?
Hivi kweli bavicha mnategemea kupata points kwa hoja kama hizi, teteeni masuala ya maana kama rasimu ya warioba!!
Mmefilisika.
 
Back
Top Bottom