Rais kufanana na hawa maana yake nini?

Rais kufanana na hawa maana yake nini?

Hesabu hazidanganyi, Hebu tukubali kwa nia ya mjadala kuwa Lowassa alipata Kura Mil 6 Na Magufuli Mil 8 Na Tuweke Pembeni wengine wote. Tuone ni Watu wangapi walimtaka Magufuli kwa asilimian 8/14 x100 = % 57.14 Na hii ni baada ya kunyanganya komputer za ukawa na human right na umoja wa assasi za kiraia.
hizo asilimia 90 zimetoka wapi, kwa kufuzia watoto mitaani na kuwaita vilazo? Je ni kwa kupoteza sukari? Je ni kwa kushindwa kuwapa wanavyuo mikopo? Je ni kwa kuzuia mikutano ya siasa ila yake tu, tena siasa zake ni maji ya sewage? Je ni kwa unafiki na hila na hadaa?
 
Takwimu zinaonesha kuwa mfuasi mmoja kati ya wawili wa CHADEMA ana vidonda vya tumbo vilivyotokana na MAGUFULI kushinda Urais. Wanaumia sana. Yaani huku Twaweza, kule Forbes.
Utafiti huu nao kiboko!! Kumbe wana vidonda vya tumbo
 
1477462296126.jpg
 
Takwimu zinaonesha kuwa mfuasi mmoja kati ya wawili wa CHADEMA ana vidonda vya tumbo vilivyotokana na MAGUFULI kushinda Urais. Wanaumia sana. Yaani huku Twaweza, kule Forbes.
Takwimu zinaonyesha kuwa tafiti nyingi za Lumumba huwa hazibebi uhalisia!...!
 
watu wenye akili timamu, wanajua kuwa uongozi hovyo unaponza Taifa zima. Wana CCM uchwara ukiacha wazee wenye Hekima zao kama Mwinyi, wanadhani Maswala ya uongozi wa taifa ni ushabiki kama wa Simba na Yanga. Kiongozi hovyo hata akiwa wa chama chako hafai.
 
Rais magufuli baada ya kutoka kwa tafiti za twaweza ilionyesha anakubalika kwa asilimia zaidi ya 96%

Sasa maswali ya kujiuliza kwa nini rais wetu ameingia tena kwenye recodi ya dunia kufana na tafiti za marais hawa?

1: Adolf Hitler : Dicteta wa ujerumani alikubalika kwa zaidi ya asilimia 95% kwenye utafiti akiwa madarakani.

View attachment 425540

2 : Fidel Castro : Huyu ni Dicteta wa Cuba aliyekuwa na Sera za ujamaa katika utafiti nchini Cuba alikubalika kwa asilimia 97% .
View attachment 425541

3: Saddam Hussein : Dicteta wa Iraq alikubalika kwa zaidi ya asilimia 100% kwenye utafiti.

View attachment 425543

Paulo Kagame : Dicteta wa Rwanda huyu uchaguzi ulioisha alishinda kwa asilimia 94%

View attachment 425544

Robert Mugabe: Dicteta wa Zimbabwe yupo madarakani toka mwaka 1980 alishawai kutangazwa kuwa anakubalika kwa zaidi ya asilimia 90% kwenye utafiti.

View attachment 425546

Lakini watu wote hawa walio wengi mwisho wao haukuwa mzuri ,wengine bado wapo lakini mwisho wao hauonekani kuwa mzuri.

Sasa kwanini rais wetu anaingia kwenye record ya kukubalika kama hawa madicteta ? Ishara yake ninini?

Hakuna pahali duniani kwenye nchi ya kidemocrasia ambapo rais anaweza kukubalika kwa zaidi ya 90% hakuna na haijawai tokea .

Sasa kukubalika huku kwa rais wetu hivi maana yake nini?
Tunataka maendeleo kwa hali yoyote ila,unayofanya rais kama ndo element za udikteta bas kuna umuhm wa kupata dikteta zaid yake ile mambo yaende na tukae tukijua kama huna tabia ya kumlazmisha mgonjwa wako kula dawa ni sawa na kumuandalia kifo
 
Back
Top Bottom