Rais kufanana na hawa maana yake nini?

Rais kufanana na hawa maana yake nini?

Bado kuja kushindanishwa na Diamond, Mzee Majuto na Kingwendu kujua nani maarufu.
Hapo ndio utaona watu wa Lumumba wanavyo hamasishwa kupiga kura kwa wingi
Nchi hii inapenda sifa za kijinga kweli. Yaani wanatanzania badala ya kuahamasishana maendeleo tunahamasishana kumpigia kura mkulu kwenye kashindano kadogo vile kama ni mimi kiukweli ningekataa hako katuzo ni aibu mkuu. Tena katuzo chenye utakuwa karibia 2/3 ya wapiga kura ni watanzania maanake wengine hawana time nalo.
 
Who branded the 'mentioned' dictators!? Maana ya dictator inabadilika kutokana na asili ya kiongozi
 
Huko ni kufilisika kwa kufikiri kama ndio ulichokuwa unakiwaza.
Kama wew hujafilisika Peleka kazifungulie Account bank! Maana wewe mufilisi na ndo maana hufurukuti ubabaki kulalama kama mtoto wa kondoo! Hebu zitumie basi hizo zako tusikuone unalalamika humu tena! Maana walionazo wanabuni njia mbadala na wanawin, Wewe zimekusaidiaje?
 
Povuuuuu...!!
Punguza jazba kijanaa huu mchezo hautaki hasiria wala chuki.
 
Nchi hii inapenda sifa za kijinga kweli. Yaani wanatanzania badala ya kuahamasishana maendeleo tunahamasishana kumpigia kura mkulu kwenye kashindano kadogo vile kama ni mimi kiukweli ningekataa hako katuzo ni aibu mkuu. Tena katuzo chenye utakuwa karibia 2/3 ya wapiga kura ni watanzania maanake wengine hawana time nalo.
Kwanza ni tuzo za kiuni hizo Forbes toka lini wakawa na mambo serious?

Wakina Lihanna na mwenzie ndio uonekana kwenye cover za magazine hiyo
 
Alafu watu wamejawa misifa eti rais wetu anakubalika njee. Huu ni upuuzi na kumshushia rais hadhi kwa kumshindanisha na mameneja wa saccos na mahakimu tena labda unaweza kukuta ni hakimu wa mahakama ya mwanzo. Kiukweli hawajamtendea haki.
 
Yaani kukubalika kwa Magufuli hata Baba wa Taifa Julius Nyerere hajamfikia, yaani hata mzee Ruksa, wala Mkapa wala Kikwete hamfikii raisi wetu mpendwa..
Na kwa vile kawazidi maraisi wote hao, kwa nini asiitwe baba wa taifa?? Au kwa nini tusichonge sanamu kubwa tuiweke pale Askari monument Dar kusudi akumbukwe vizazi na vizazi sababu hi rekodi kwa nchi yeyote hence demokrasia haiwezi kuvunjwa. Na baadae hiroko sanamu ikatuingizia pato la ndani kwa watalii watakaokuja kuiona hiroko sanamu.
 
Ngoja niangalie salio langu benki kabla sijachangia kitu hapa.
Ha ha ha
Rais magufuli baada ya kutoka kwa tafiti za twaweza ilionyesha anakubalika kwa asilimia zaidi ya 96%

Sasa maswali ya kujiuliza kwa nini rais wetu ameingia tena kwenye recodi ya dunia kufana na tafiti za marais hawa?

1: Adolf Hitler : Dicteta wa ujerumani alikubalika kwa zaidi ya asilimia 95% kwenye utafiti akiwa madarakani.

View attachment 425540

2 : Fidel Castro : Huyu ni Dicteta wa Cuba aliyekuwa na Sera za ujamaa katika utafiti nchini Cuba alikubalika kwa asilimia 97% .
View attachment 425541

3: Saddam Hussein : Dicteta wa Iraq alikubalika kwa zaidi ya asilimia 100% kwenye utafiti.

View attachment 425543

Paulo Kagame : Dicteta wa Rwanda huyu uchaguzi ulioisha alishinda kwa asilimia 94%

View attachment 425544

Robert Mugabe: Dicteta wa Zimbabwe yupo madarakani toka mwaka 1980 alishawai kutangazwa kuwa anakubalika kwa zaidi ya asilimia 90% kwenye utafiti.

View attachment 425546

Lakini watu wote hawa walio wengi mwisho wao haukuwa mzuri ,wengine bado wapo lakini mwisho wao hauonekani kuwa mzuri.

Sasa kwanini rais wetu anaingia kwenye record ya kukubalika kama hawa madicteta ? Ishara yake ninini?

Hakuna pahali duniani kwenye nchi ya kidemocrasia ambapo rais anaweza kukubalika kwa zaidi ya 90% hakuna na haijawai tokea .

Sasa kukubalika huku kwa rais wetu hivi maana yake nini?
 
Simlisema wenyewe twaweza ni utafiti wa mwedo kac leo mmeuamini utafiti wao nakuanza kuufanyia ulinganisho hahahaha kazi mnayo
 
Watanzania tunachohitaji ni mabadiliko ya kweli na maendeleo. Kama suala la kubadili viongozi, mbona hata nguo tunabadili kila siku lakini mwili ni ule ule!
Ukiwa na ufinyu wa mawazo na usie na uelewa wowote kuhusu uongozi ni dhahiri unastahili kuwa na mawazo kama yako, tafsiri halisi ya maendeleo unaifahamu??
 
Mapumziko ya mwisho wa wiki ndio haya, sina hata milioni saba za kutumia weekend hii
 
Rais magufuli baada ya kutoka kwa tafiti za twaweza ilionyesha anakubalika kwa asilimia zaidi ya 96%

Sasa maswali ya kujiuliza kwa nini rais wetu ameingia tena kwenye recodi ya dunia kufana na tafiti za marais hawa?

1: Adolf Hitler : Dicteta wa ujerumani alikubalika kwa zaidi ya asilimia 95% kwenye utafiti akiwa madarakani.

View attachment 425540

2 : Fidel Castro : Huyu ni Dicteta wa Cuba aliyekuwa na Sera za ujamaa katika utafiti nchini Cuba alikubalika kwa asilimia 97% .
View attachment 425541

3: Saddam Hussein : Dicteta wa Iraq alikubalika kwa zaidi ya asilimia 100% kwenye utafiti.

View attachment 425543

Paulo Kagame : Dicteta wa Rwanda huyu uchaguzi ulioisha alishinda kwa asilimia 94%

View attachment 425544

Robert Mugabe: Dicteta wa Zimbabwe yupo madarakani toka mwaka 1980 alishawai kutangazwa kuwa anakubalika kwa zaidi ya asilimia 90% kwenye utafiti.

View attachment 425546

Lakini watu wote hawa walio wengi mwisho wao haukuwa mzuri ,wengine bado wapo lakini mwisho wao hauonekani kuwa mzuri.

Sasa kwanini rais wetu anaingia kwenye record ya kukubalika kama hawa madicteta ? Ishara yake ninini?

Hakuna pahali duniani kwenye nchi ya kidemocrasia ambapo rais anaweza kukubalika kwa zaidi ya 90% hakuna na haijawai tokea .

Sasa kukubalika huku kwa rais wetu hivi maana yake nini?
Manake ni dikteta kama wao
 
Mkuu unaona mbali sana jamaa ana kaelement ya hawa wengine muda sio mrefu utasikia katiba imepinduliwa na jamaa kujitawalisha wa milele.
Si unaona kalazimisha mafao ya watu yajenge viwanda kupitia kufuta fao la kujitoa
 
Takwimu zinaonesha kuwa mfuasi mmoja kati ya wawili wa CHADEMA ana vidonda vya tumbo vilivyotokana na MAGUFULI kushinda Urais. Wanaumia sana. Yaani huku Twaweza, kule Forbes.
Ile miezi miwili aliyohaidi mwenyekiti wenu bado haijaisha au alikuwa ana taniaa?

Mwambie mkuu wananchi wanataka fao la kujitoa huku
 
Simlisema wenyewe twaweza ni utafiti wa mwedo kac leo mmeuamini utafiti wao nakuanza kuufanyia ulinganisho hahahaha kazi mnayo
Mkuu hata hao sio kwamba walikubalika hivyo Bali ni Twawezeshwa zao....
 
Mkuu unaona mbali sana jamaa ana kaelement ya hawa wengine muda sio mrefu utasikia katiba imepinduliwa na jamaa kujitawalisha wa milele.
Sio tabu mkuu ilimladi amani ipo na nia ya dhati ya kutuletea maendeleo na atawale milele tu kama kumbukumbu zako ziko sawa hiyo anayeitwa dikteta no. 1 Hitler msome kuanzia 1933 mpaka 1937 ujerumani ilikuwaje na utuletee mrejesho hapa.
 
Back
Top Bottom