trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 746
Ni kweli kabisa, hawa jamaa North Korea ni kiboko. Pamoja na matatizo yao ya kiuchumi lakini jamaa wako pamoja muda wote. Wana ndugu zao South Korea lakini wapi, hapewi mtu info.
Nasikia jamaa alikuwa kiboko! Alikuwa na uwezo mkubwa kukariri. Aliwahi kuwataja wageni zaidi ya kumi kwa majina na sehemu walizotoka,wakati alitambulishwa siku hiyohiyo ya mkutano!
Hapa Marekani pamoja na mbinu zote licha ya kuwatumia south korea wamekoma ubishi kwa siri za Korea.
aisee we ni kiboko zaidi yake! wageni kumi?
Bora kuwa dicteta nchi ikaenda kuliko watu kubadilishana dhahabu kwa chandarua !Wana uzalendo wa hali ya juu..wacha hapa njaa njaa tu,,,North Korea is the most secretive states in the world...with the biggest and committed army in Asia as well...wana nhuklia arsenal yani ukimangamanga wanakupa tifu la kutisha..wao wana intercontinental Ballistic missile zinazofika Nevada na Mississipi bila shida yeyote...
Kwani uongo? Nchi yenye challenges nyingi kama ile unaweza kulala tuu, na kutwitt!!Wanamlilia kwasababu wameambiwa kafa kwasababu ya kujioverwork kwaajili yao. Hivyo wanadhani kafa kwaajilia yao.
Mbona inawezekana..
Nimejaribu kutafakari uwezo wa kuficha msiba mkubwa hivyo kwa siku mbili nzima nimekosa jawabu, ina maana familia yake iliwekwa mahali isiwasiliane na mtu yeyote kwa hizo siku mbili ama nayo haikutaarifiwa?
Wanastahili pongezi kwa kweli..
Wazuri kwa SIRI Wanyonge kwenye DEMOKRASIA!!
Mbona inawezekana..
Nimejaribu kutafakari uwezo wa kuficha msiba mkubwa hivyo kwa siku mbili nzima nimekosa jawabu, ina maana familia yake iliwekwa mahali isiwasiliane na mtu yeyote kwa hizo siku mbili ama nayo haikutaarifiwa?
Wanastahili pongezi kwa kweli..
Si kweli North Korea imeendelea kuliko nchi zote za Afrika Mashariki kwa pamoja!
Eti mental disability ndio ugonjwa uliomwua hahahhaha JF inafurahisha sana. Nimeshangaa kuona watu wazima wanalia kama watoto. Kweli walimpenda kiongozi wao na mapungufu aliyokuwa nayo. Hii ni maajabu 7 ya dunia!
Wao Waamerika walipo piga atomic bomb pale Hiroshima/Nagasaki akili zao walimpa nani awashikie ?!!Tatizo la marekani na mataifa mengine ya west, wasiwasi wao ni kwamba hawajui ni kichaa yupi atakabidhiwa rungu, sasa inabidi wawategemee sana wachina kwasababu hawa NK ni very secretive.
Duh!Hawa jamaa wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana kuwa brainwash wananchi wao...
Viongozi wetu wangependa sana hii, tatizo tumeshakuwa too much "knowledegewise" exposed to the so called "free world" and its democracies...