Jagermaster
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 654
- 321
New KIM
[TABLE="class: ad_slug_table"]
[TR]
[TD="align: right"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Though huyu dogo anaokana hakuandaliwa muda mrefu, kwa mujibu wa Aljazeera dogo alisoma Swiss with a fake name. I am sure his father prepared him to be his successor tofauti na watu wengi wanafyokiri ndio maana always hakupenda hafamike mapema na maadui zake. From Swiss he went straight military academy and currently is among of high ranking army officials.
New KIM
[TABLE="class: ad_slug_table"]
[TR]
[TD="align: right"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Though huyu dogo anaokana hakuandaliwa muda mrefu, kwa mujibu wa Aljazeera dogo alisoma Swiss with a fake name. I am sure his father prepared him to be his successor tofauti na watu wengi wanafyokiri ndio maana always hakupenda hafamike mapema na maadui zake. From Swiss he went straight military academy and currently is among of high ranking army officials.
Na kwa kuongezea tu huyu dogo anasumbua sana vichwa vya wamarekani cuz they know very little about him,kwa mfano so far hawajui hata ana umri gani,kweli nchi za kijamaa kwa siri naziamini,hii hata sisi hapa bongo ilikuwepo enzi za nyerere kila kitu siri ya serikali..!
Yule kiongozi dictator wa Korea Kaskazini amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo. Sababu bado kujulikana.
source ni ABCNEWS
Wangekuwa kama walibya NATO wangeshatia timu loong time, inaonyesha hakuna ukabila huko kwao...Eti mental disability ndio ugonjwa uliomwua hahahhaha JF inafurahisha sana. Nimeshangaa kuona watu wazima wanalia kama watoto. Kweli walimpenda kiongozi wao na mapungufu aliyokuwa nayo. Hii ni maajabu 7 ya dunia!
speaks several foreign languages, including English, German and French, and is a whiz at computing and technology
Dogo huyu ni tofauti kidogo...Maybe ndo maana wanamwita the "Great Successor" inaelekea wana imani na future ya Taifa lao chini ya uongozi wa Un.
Wewe uko facebook yangu, i suspect that, ndo maana umekuwa ukinitukana matusi humu.Mu add kwenye facebook yako
Wewe uko facebook yangu, i suspect that, ndo maana umekuwa ukinitukana matusi humu.
Kwanini usi mu add wewe?
JK atakwenda bila shaka
Wewe uko facebook yangu, i suspect that, ndo maana umekuwa ukinitukana matusi humu.
Kwanini usi mu add wewe?
NATO hawawezi kupeleka mchezo huko kwa sababu kufanya hivyo itakuwa ni kwenda kumchokoza mchina waziwazi, na pia NK wana nuklia sasa hivi. Kwa hiyo lazima wapige mahesabu kwanza la sivyo wanaweza kuisababishia South Korea ikageuzwa kuwa majivu.Wangekuwa kama walibya NATO wangeshatia timu loong time, inaonyesha hakuna ukabila huko kwao...
Ukabila kitu mbaya sana!
nato hawawezi kupeleka mchezo huko kwa sababu kufanya hivyo itakuwa ni kwenda kumchokoza mchina waziwazi, na pia nk wana nuklia sasa hivi. Kwa hiyo lazima wapige mahesabu kwanza la sivyo wanaweza kuisababishia south korea ikageuzwa kuwa majivu.
huyu "dear leader"katesa sana watu wake kwa njaa+kuwanjima uhuru wa kujua mamabo mengi yanayoendelea duniani-
ngoja tuone mrithi wake atakuja na lipi jipya
Mwanae atakayemrithi huyu hapa naye....
Sijui waafrika tuna matatizo gani. Yaani kwa sababu wazungu wanamwita dikteta basi na sisi tunaimba tuu kama kasuku.
Hatujiulizi kwa nini Wale marafiki wa wazungu kule uarabuni na kwingineko hawaitwi madikteta.
Kiongozi yeyote ambaye haendani na maslahi ya wazungu lazima atakuwa dikteta hata kama wananchi wake wanampenda.
Kabla hatujaimba wimbo tusioujua ingekuwa vema tusome katiba ya Korea Kaskazini inawezekana ikawa inaruhusu viongozi kurithiana kama wafalme...
Safi sana mkuu bora wewe una mtazamo chanya, watu wengine wnachangia humu kwa hisia na hasira zidi ya marekani lakini ukweli ni kuwa Korea kaskazini kwa sasa wako kama tulivyokuwa sie miaka ya sabini. Hawajitambui kabisa wanakufa njaa sana, wamenyimwa vitu vingi sana, mwaka 2007 kulikuwa na wakorea kaskazini 20,000 tu waliokuwa wanamiliki simu za mkononi.Kama watu wengine duniani walivyokuwa wanatushangaa tulivyokuwa tunagala gala barabarani kumlilia Nyerere wakiamini ndio alietuletea umaskini mkubwa na kutubana sana!
Wanamlilia kwasababu wameambiwa kafa kwasababu ya kujioverwork kwaajili yao. Hivyo wanadhani kafa kwaajilia yao.Wananchi wana mlilia sana kama tulivyofanya kwa mwalimu...
Kama nilivyodhani, Miss Clinton katoa rambi rambi kwa wananchi wa NK na huku akiendelea kudai mabadiliko ni muhimu, wamarekani bana!