Basi ujue huku nyuma litatokea la kutokea, maana ndiyo kawaida kila akisafiri!
Ni wapi, ninini, linamgusa nani, kwanini, muda gani....stay tuned!
UuuuuuuuuuWiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Nchi inafilisiwaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!! Anaunguza pesa zote hizi na wakati huo huo anaomba msaada wa Walimu kutoka Jamaika!!!!!???? Hizo pesa anazo tumia kutembea hovyo si tungeweza kusomesha walimu wa kutosha jamani!!
Hiyo ITIKAFU haija fanya kazi jamani?
Nyie nendeni mkatumie ruzuku ya chama chenu kwenye maandamano yasiyo na tija.UuuuuuuuuuWiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Nchi inafilisiwaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!! Anaunguza pesa zote hizi na wakati huo huo anaomba msaada wa Walimu kutoka Jamaika!!!!!???? Hizo pesa anazo tumia kutembea hovyo si tungeweza kusomesha walimu wa kutosha jamani!!
Hiyo ITIKAFU haija fanya kazi jamani?
huna hoja, rais anapisafiri kukutana na marais wenzake wa nchi kubwa km japan ilyopiga hatua kubwa kimaendeleo, kuna mengi anatuletea kama taifa.
Basi ujue huku nyuma litatokea la kutokea, maana ndiyo kawaida kila akisafiri!
Ni wapi, ninini, linamgusa nani, kwanini, muda gani....stay tuned!
Wana Jf,
Kuna njia nyingi sana za kufanya mazungumzo hata kufikia makubaliano mfano simu, teleconference, e mail, skype nk. Mtu aweza tumia njia hizi unless mazungumzo yawe ya siri sana yanayohitaji kuongea ana kwa ana.
Hivi gharama ya safari hii ya Japani inaweza kuwa kiasi gani?
Anyway: My next stop: Russia.
Baada ya safari hii tumtegemee waziri mkuu wa Japan kututembelea.Tunamtakia safari njema rais wetu
Usisahau kuna mwingine yuko China anatanua na mke wake, japokuwa kisiwa chake sio nchi lkn sijui kaenda huko kama mkuu wa mkoa au nani.
Ndivyo unavyofikiri eeh!huna hoja, rais anapisafiri kukutana na marais wenzake wa nchi kubwa km japan ilyopiga hatua kubwa kimaendeleo, kuna mengi anatuletea kama taifa.