Tony Gwanco
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 5,913
- 1,209
Baada ya safari hii tumtegemee waziri mkuu wa Japan kututembelea.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
itakuwa vema sana tena ikiwa atawekeza kwenye ges ya mtwara
Baada ya safari hii tumtegemee waziri mkuu wa Japan kututembelea.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Fafanua sasa kama Great Thinker
Yule kazi yake ni kutembea na mkasi mfukoni kwaajili ya kukata tepe, kufungua na kufunga semina na makongamano, kupokea wageni wa Boss wake anapokuwa hayupo kama yule boss wa richmond. Hizo ndizo kazi kuu za makamu wake.Mara moja moja awe anampa safari Makamu wake,yule Mzee wa watu(Dr.Bilal) kila siku anachoma mahindi tu.
Hivi ni lazima rais ahudhurie kila mkutano unaofanyika kokote duniani? Kwa mfano huo mkutano wa 5 wa kuzungumzia maendeleo ya Afrika lakini unafanyika Japan kuna uwezekano wa kuwakuta marais wote wa nchi za Afrika huko (hata yule wa Botswana)? Msimamo wa Rais wa Botswana His Exelence IAN KHAMA ni kuwa, most of the meetings are mere talk shows, and they are not productive to respective countries, and hence you can not develop your country through talkshows. Hata huko New York (UN) kwenyewe haendagi, anasema hadi kuwe na serious issue specific on his country. Mimi naona kuna haja ya kuiga mtazamo wa mzalendo huyu wa Botswana.

jamii ya kejeli na malalamiko ndiyo jamii iliyobaki.Mmmh jameenii tutafarijika !! angalau tutaletewa mabaki (chakavu) ya Tsunami.....!!
looh nakumbuka 2011 waJapani walipigwa dharuba la Tsunami, wangali bado wanamshituko na kumbo hilo Eti waBongo tukaanza kudai misaada yetu waliyotuahidi..? Mmh Sisi basi tena.
Kagonga safari ya 426, kama ni rais tunaye kweli kweli!!!!
Tunamtakia safari njema rais wetu
jamii ya kejeli na malalamiko ndiyo jamii iliyobaki.
Yeye ni waziri wa afya, waziri wa mambo ya nje, waziri wa mazingira na pia ni waziri wa fedha. Ukitokea mkutano wa uzazi salama, anaenda yeye, pesa za fusifadi zikirudi anapanga matumizi yeye, ukitokea mkutano wa mazingira yumo. Yeye alisema kazi yake ni kuzunguka duniani kuhemea vibaba ili watanzania tusife njaa. Alisema asiposafiri tutakufa njaa! Mwacheni asafiri jamani!
huna hoja, rais anapisafiri kukutana na marais wenzake wa nchi kubwa km japan ilyopiga hatua kubwa kimaendeleo, kuna mengi anatuletea kama taifa.
huna hoja, rais anapisafiri kukutana na marais wenzake wa nchi kubwa km japan ilyopiga hatua kubwa kimaendeleo, kuna mengi anatuletea kama taifa.