Imany John
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 2,937
- 1,192

Wewe ambae si legelege mbona huna hata ujumbe wa nyumba kumi? unanchekesha.

Hata mimi nimefunguliwa leo.
Za siku nying?
Asalam aleikum!

Wewe ambae si legelege mbona huna hata ujumbe wa nyumba kumi? unanchekesha.
Dawa yako ni moja tu tunakuacha unapata hewa ya nje kidogo baadaye tunakuficha.....am counting hours.Wewe ambae si legelege mbona huna hata ujumbe wa nyumba kumi? unanchekesha.
Kwanini ikulu inajihisi? nina wasiwasi......... watuambieni nani aliwaambia rais ni kigeugeu hadi waanze kujitetea au rais kahisi wimbo wa Jaguar kaimbiwa yeyeTunapendakusisitiza kuwa Mheshimiwa Rais hawaja kigeugeu kwa sababu alifanyauamuzi mmoja tu baada ya kupokea taarifa kutoka kwa Katibu MkuuKiongozi.
Mi naona bado wanazidi kujichanganya na kujidhalilisha mbele ya umma....Bungeni Pinda alitamka kuwa laiti angekuwa na mamlaka angechukua uamuzi wa kumwadhibu Jairo mara moja,na aliahidi atamfahamisha rais kwani ndiye mwenye mamlaka.Sasa ikiwa Rais amefanya uamuzi mmoja tu kusitisha agizo la Luhanjo kwa Jairo kurejea kazini ,je ni nani aliyemwagiza Luhanjo kumpa likizo Jairo na kumtaka CAG kufanya uchunguzi?Je ni hatua/uamuzi gani aliyochukua Rais baada ya kujulishwa jambo hili na Pinda?Kama hakuwahi kuchukua hatua zozote awali,ni kipi kimemsukuma sasa?

Wewe ambae si legelege mbona huna hata ujumbe wa nyumba kumi? unanchekesha.
Sina uhakika kama Mh Raisi amesoma barua hii kabla ya kwenda hewani... hainiingilii akilini kuwa imeandikwa na Ikulu, maana ina mapungufu mengi sana ni aibu kwa kweli hata ujumbe uliokusudiwa umekaa vibaya sana naasikitika
Sina uhakika kama Mh Raisi amesoma barua hii kabla ya kwenda hewani... hainiingilii akilini kuwa imeandikwa na Ikulu, maana ina mapungufu mengi sana ni aibu kwa kweli hata ujumbe uliokusudiwa umekaa vibaya sana naasikitika
Salva, unatumia taaluma yako vibaya kwa kutoa taarifa potofu. Hivi nani mkubwa kimadaraka kati ya Waziri Mkuu na Katibu Mkuu Kiongozi? Tunakumbuka maneno aliyosema Waziri Mkuu ni nini angefanya kama angekuwa na mamlaka ya kutoa maamuzi juu ya kashfa ya Jairo, mwenye mamlaka hayo (si Katibu Mkuu Kiongozi) alikuwa nje ya nchi wakati huo aliahidi kumpigia simu baadae. Na simu ilipopigwa tukaambiwa kuna maelekezo (kutoka kwa rais) mengine kuhusu Jairo - ndo KMKiongozi akaibuka na maelekezo ya Cag kufanya uchunguzi.
Kakangu Salva huo mchezo wa kuigiza wa kitoto unaofanywa na hao unaowakurugenzia habari kwani ripoti imemtakasa Jairo kwamba hakutoa mlungula. Hivi hizo pesa zilitoka ktk bajeti ipi? Hizo pesa ni nyingi kutolewa kama hongo huku wanchi wakitaabika sana.
Nasikia Jairo siku aliporipti kazini alipokelewa kama shujaa hadi gari lake kusukumwa, mwambie rais jambo hilo lilituudhi sana.
Rais huyo huyo kaamuru Jairo arudi likizo kupisha uchunguzi wa tume ya bunge! KAMA SI UKIGEUGEU NI NINI?
Itafika siku hata kuhutubia watakuwa wanakuja watoto tu.

Tunapendakusisitiza kuwa Mheshimiwa Rais hawaja kigeugeu kwa sababu alifanyauamuzi mmoja tu baada ya kupokea taarifa kutoka kwa Katibu MkuuKiongozi. Na uamuzi huo aliufanya kabla ya Bunge kulizungumzia sualahilo na hivyo uamuzi huo wa Rais haukutokana na shinikizo la Bunge.Pamoja na kumweleza Katibu Mkuu Kiongozi, Rais pia alimfahamishaWaziri Mkuu kuhusu uamuzi wake huo asubuhi hiyo ya tarehe 25, 2011.